Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

sasa Smart911 si angeanza kufungua nyuzi za kuomba ushauri atampataje mtoto wake alie zaa na mke wa mtu 🤣

Daaah kwenye ule uhusiano kuna mengi sana ya kujifunza.

-Kuacha Mke na kwenda Mbali kikazi.
-Pretending kwamba hauna uhusiano
-Mapenzi ya Kitamthilia(Moyo wa mtu kichaka)
-Usione Ukadhani ,Fitina titi la paka halifai kwa Mtindi.
 
Hahahaha,

Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.

Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"

Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!
Duh

Ova

mrangi
 
Sema wewe ndio hujawahi kuona uzi wake

Enzi zile yuko kwenye penzi zito,mahaba mahabani alikuwa kila mwaka anabandika uzi wa kumpongeza mpenzi wake kutimiza miaka fulani
Siku akipewa miuno feni ataweka uzi wa kusifia mpenzi wake na vingereza vyao vya hapa na pale 🤣

Mapenzi haya dadeq! 😂

Kimsingi Smart911 tushaona sana nyuzi zake za kutosha
Mimi ulishaona zangu au bado unaendelea kusubiri?
 
Back
Top Bottom