Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii ID yako nyingine wengi tulikuwa hatuifahamu.Hahahaha,
Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.
Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada ulipata muongozo"
"cc:mahondaw"
Jamaa wala hanaga cha kuongea zaidi ya hizi kauli. Daah!