Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Alipewa baba toka muda mbona, nilianzishaga uzi baba mtoto wangu katoroka na mtoto baada ya siku chache huyo Chizi akaja kuujibu kama yeye ndio baba mtoto. Basi mpaka leo watu wanaamini ndio mhusika mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema la Intelligent businessman ndio jipya nimelisikia leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani jf hata km hutaki ugomvi utalazimishwa tu!! Sasa watu washajua chizi ana mtoto na wewe
 
Yani nacheka mpk tumbo linauma trudie alivyoambiwa mtoto wake wa chizi maarifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi maarifa ndio aliyesema watu wakaunganisha dots tuu.....mwanzoni nilikuwa namind baadae nikaona ujinga nimpotezee tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani jf hata km hutaki ugomvi utalazimishwa tu!! Sasa watu washajua chizi ana mtoto na wewe
Na ninavyozidi kukataa watu ndio wanaamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja siku nilewe aisee nimtaje mhusika mwenye mtoto haiwezekani nisingiziwe na kina chizi
 
Chizi maarifa ndio aliyesema watu wakaunganisha dots tuu.....mwanzoni nilikuwa namind baadae nikaona ujinga nimpotezee tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu humu ukikasirika utakufa kwa sonona, watu wengi wanaongea wanachojisikia wewe furahi tu!!! Ukweli wa mambo unao mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom