Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Duuh! Nyuzi zote zinazomzungumzia uyu jamaa huwa zinafungwaga turbo,huwa zina speed ya mwanga...
 
Daaah kwenye ule uhusiano kuna mengi sana ya kujifunza.

-Kuacha Mke na kwenda Mbali kikazi.
-Pretending kwamba hauna uhusiano
-Mapenzi ya Kitamthilia(Moyo wa mtu kichaka)
-Usione Ukadhani ,Fitina titi la paka halifai kwa Mtindi.
kweli kabisa moyo wa mtu kichakaa , maskini mjeda wa watu angejua yeye yupo kulinda amani apate dola 50,000/ aje kumspoil mkewe kumbe mkewe yupo kwenye penzi zito kama teenager na mtu mwingine.
Jamani huu uzi ulinifanya nikapigwa BAN 😂😂
 
kweli kabisa moyo wa mtu kichakaa , maskini mjeda wa watu angejua yeye yupo kulinda amani apate dola 50,000/ aje kumspoil mkewe kumbe mkewe yupo kwenye penzi zito kama teenager na mtu mwingine.
Jamani huu uzi ulinifanya nikapigwa BAN [emoji23][emoji23]
Utapigwa ban nyingine naona unaufufua tena
 
Utapigwa ban nyingine naona unaufufua tena
hamna sasa hivi natumia code ban ilikuwa kwa sababu nili expose new ID ya mahondaw lakini cha ajabu ni kwamba ukigusa reply za mahondaw za zamani zinaleta new ID ya mahondaw ambayo ni -- kuna manywele profile picture yake, iyo ban ilikuwa uonevu. na swala la mahondaw na mzee wa miongozo kuwa alikuwa mchepuko wake kwamba yeye kaolewa na mjeda na wakati anachepuka na kuonyeshana mapenzi hapa jf mpaka kuwa best couple mjeda alikuwa zake huko kulinda amani basi watu tukampopoa pale ajirekebishe na asirudie tena na alifanya hivyo makusudi ili kuwa rusha roho wale mademu wa smart aliokuwa anazinguana nao huko selfika kwamba yeye hana shida na huyo mzee wa miongozo ana mume wake.
 
Back
Top Bottom