Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

Wote ni binadamu kama wengine na si wao wapo wengi ,ilikuwa bado hajanogewa na kujiamini ,ila baada ya mkuu kuanza kulewa madaraka ,na jingine usizani wote uliowataja ni mamba wengine ni kenge kama sio wote,wewe unatoweka wenzako wanadunda.
Umekubali kwamba habari ya "hakuna aliyeweza kumpinga" ni uongo?
 
Mimi nilimpinga na kumkosa mara kadhaa hapa hapa jF kuhusu suala la kuhamia Dodoma. Na nilisema Dodoma ni moja ya yale mambo JK Nyerere aliyo kiri walifanya ya kijinga, hata kama hakulitaja hadharani.

Na nilitoa sababu kwa nini ni ujinga kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma hasa kipindi hiki cha maendeleo makubwa ya sayansi na techologia.
 
Tuacheni unafiki, kwenye ukweli tuseme ukweli

Waliomkosoa ni wengi sana, bungeni almost wabunge wote wa upinzani waliokuwa wakiikosoa Serikali ya Magufuli iwe kwa kutumia mitandao, Press, Social media au bungeni

Zitto post zake nyingi kwenye Twitter kajaza mambo mbalimbali ya kukosoa Serikali lakini hajapotezwa wala kufungwa,

Kina Sugu, Msigwa, Lema, Maria Sarungi, Fatma Karume, Halima, na wengine wengi mbona walikosoa na hawakupotezwa!???

Pia, mnaposema utawala wa Magufuli ulipoteza watu,, hebu mtuambie kati ya wananchi 55ml tutajieni hata watu 20 tu nchini waliopotezwa ambao ni wastani wa asilimia 0.00003 ya Population yote nchini

TUTAJIENI WATU 20 TU WALIOPOTEZWA KTK UTAWALA WA JPM
 
Kuna kitu kinaitwa "convenient amnesia".

Yani ni hali fulani ya mtu kujisahaulisha yale ambayo hayapendi, na kulazimisha historia ya uongo ambayo mambo asiyoyapenda anayaondoa.

Ndicho alichokifanya mleta mada hapa.

Yani hata tukifungua nyuzi za miezi sita iliyopita tu hapahapa JF tutakutana na habari za watu waliompinga Magufuli, waziwazi, kwa kutumia majina yao halisi.

Zitto mpaka kamuita Magufuli mshamba.

Halafu unaambiwa hakuna aliyempinga Magufuli.
 
Mayalla na anti-pas walimpinga kwenye mihadhara,Hawa wengine walijikinga na mwamvuli wa social media
Kayafa alikuw mkali nyie ,ukweli mchungu .sijui Kama angels watamuelewa
 
Kuna kitu kinaitwa "convenient amnesia".

Yani ni hali fulani ya mtu kujisahaulisha yale ambayo hayapendi, na kulazimisha historia ya uongo ambayo mambo asiyoyaoenda anayaondoa.

Ndicho alichokifanya mleta mada hapa.

Yani hata tukifungua nyuzi za miezi sita iliyopita tu hapahapa JF tutakutana na habari za watu waliompinga Magufuli, waziwazi, kwa kutumia majina yao halisi.

Zitto mpaka kamuita Magufuli mshamba.

Hqlafu unaambiwa hakuna aliyempinga Magufuli.
Kweli kabisa mkuu

Ila ndio hvyo inabidi tukubali kuishi na Wapuuzi kama hawa licha ya upuuzi wao
 
Screenshot_20210609_140054.jpg
 
Alikimbiza upepo dunia kaiacha inasonga, maisha ya dunia sio zaidi ya kula na kunywa mengine ni ya ziada.
 
Alipiga pushup kudhihaki afya ya Lowasa kwamba Lowasa atakufa kabla yake,TAL alidunguliwa Ili akazikwe haraka haraka leo ni mzima.
Hii dunia ikanyage taratibu
 
Pesa aliyotumia kumsaka kigogo si angejiwekea hazina mbinguni hata kwa kuwasaidia mayatima au wazee wasiojiweza.
 
Kuna kitu kinaitwa "convenient amnesia".

Yani ni hali fulani ya mtu kujisahaulisha yale ambayo hayapendi, na kulazimisha historia ya uongo ambayo mambo asiyoyapenda anayaondoa.

Ndicho alichokifanya mleta mada hapa.

Yani hata tukifungua nyuzi za miezi sita iliyopita tu hapahapa JF tutakutana na habari za watu waliompinga Magufuli, waziwazi, kwa kutumia majina yao halisi.

Zitto mpaka kamuita Magufuli mshamba.

Halafu unaambiwa hakuna aliyempinga Magufuli.
Welp! Check this out. Kuna watu humu humu JF, tena wakongwe kabisa, ambao hudai kuwa sijawahi hata siku moja kumkosoa Magufuli. Cha kuchekesha, watu hao hao ndo walikuwa wananigongea ‘Likes’ sana kwenye mada zangu zinazomkosoa Magufuli 🤣.

Ati sijawahi kumpinga wala kumkosoa Rais Magufuli kwa vile ni Msukuma mwenzangu!!!

That’s why sometimes I find it so hard to have a reasonable discussion with these types of people!

Kumbe hapa chini kwenye hizi mada nilikuwa namsifia eh?? Hahahaa!

Nachoshangaa sana ni VP, ivi alikuwa anaongea nini na mkuu au alikuwa anamarishwa tu?
 
Welp! Check this out. Kuna watu humu humu JF, tena wakongwe kabisa, ambao hudai kuwa sijawahi hata siku moja kumkosoa Magufuli. Cha kuchekesha, watu hao hao ndo walikuwa wananigongea ‘Likes’ sana kwenye mada zangu zinazomkosoa Magufuli [emoji1787].

Ati sijawahi kumpinga wala kumkosoa Rais Magufuli kwa vile ni Msukuma mwenzangu!!!

That’s why sometimes I find it so hard to have a reasonable discussion with these types of people!

Kumbe hapa chini kwenye hizi mada nilikuwa namsifia eh?? Hahahaa!

Hayo ni matatizo ya kutumia hisia kuliko mantiki katika mijadala.

Halafu wabongo kwa figisu huwawezi.

Wanaweza kukuambia kwamba wewe ni mfuasi wa Magufuli, wanakujua kuliko unavyojijua mwenyewe.

Ila ulijiwekea bima kumkashifu ili ukibanwa kwamba wewr ni mfuasi wa Magufuli uweze kujitetea kama racist redneck anayejitetea kwa kusema "I am not racist, I have black friends".
 
Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa?

Tuseme ukweli tutajieni watu waliokuwa na uthubutu wa wazi kabisa kumzungumza, Mheshimiwa Magufuli zaidi ya kumsifu au kumuweka kama kibwagizo?

Nije kwa msanii au wasanii ni nani aliekuwa na ubavu wa kuimba manyimbo ya kuonyesha tupo kwenye kibano ? Na tumeona makundi kwa makundi yalijibanza chini ya mwenvuli wa CCM na kumsifu Mwenyekiti wao. Na mimi kama mimi siamini kuwa waliipenda saaaana CCM au Raisi wao au kupenda Chama cha Mapinduzi.

Inasemwa ili kuelewana walikuwa hawana budi na lisilokuwa na budi hutendwa. Tumeona waliojaribu kimewakuta nini waliohama CCM wakati wake tumewaona wamefanywa nini.

Kwa kweli wasanii walikuwa kwenye kipindi cha utawala ambao ulikuwa haueleweki kama upepo wa baharini. Hivyo hawakuweza kuhatarisha vijisenti vyao kwa kupima upepo,waliamua kuwa bendera.

Ila yanayowakuta labda ni laana za zao tu. Na wasichukiwe kwa kugeuka bendera.
Umenena vyema.. EMBU CHECK ROMA MKATOLIKI YUPO WAPI MPAKA SASA..??
 
Hayo ni matatizo ya kutumia hisia kuliko mantiki katika mijadala.

Halafu wabongo kwa figisu huwawezi.

Wanaweza kukuambia kwamba wewe ni mfuasi wa Magufuli, wanakujua kuliko unavyojijua mwenyewe.

Ila ulijiwekea bima kumkashifu ili ukibanwa kwamba wewr ni mfuasi wa Magufuli uweze kujitetea kama racist redneck anayejitetea kwa kusema "I am not racist, I have black friends".
Yeah, I wouldn’t put that past them!

Maana wapo pia waliodai pindi nilipokubaliana naye kwenye jambo, kuwa eti natafuta uteuzi.

For one, I never knew him personally. Never even met him. Not sure he even knew of my existence.

Sasa ndo aje aniteue mimi Nyani Ngabu kisa kaona nimekubaliana huku JF kwenye jambo flani?

Fikra za watu wengine bana!!!
 
Uteuzi gani wa serikali unaweza kukuridhisha mkuu?

Maana isije ukaulizwa na rais unataka kazi gani, ukajibu kama inavyodaiwa alivyosema Tuntemeke Sanga, kwamba kazi pekee itakayokufaa ni urais tu.
 
Tangu kuumbwa kwa dunia Hakuna binadamu yeyeto aliyewahi pambana na watu akawashinda
 
Back
Top Bottom