Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa ๐ŸŸฅ mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom ๐Ÿ’ฅ mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata ๐Ÿคฐ basi mate mji mzima ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ilikuwa bora
Mlikuwa bora.
Sasa?
Leo?
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ni kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
 
Yule kipa wenu mlimpiga goli 7? Sasa Yanga wakipita naye msisingizie bahasha za GSM.
 
Mavi ya kale,,,,kwasasa imebaki sanda tu inapepea,,,,,,,,marehemu alikua anajeuri sana
 
Onyesheni hiyo medali ya CAF ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Siku mkipata hata medali ya CAF mje mzungumze na wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ