Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Mimi Simba lakini kulinganisha mafanikio ya Yanga na Sinba ni aibu, tupambane tufike hata nusu fainali shirikisho, maana kule club bingwa ni wakubwa tu kama yanga, mamelodi, al ahly n.k
 
Mimi Simba lakini kulinganisha mafanikio ya Yanga na Sinba ni aibu, tupambane tufike hata nusu fainali shirikisho, maana kule club bingwa ni wakubwa tu kama yanga, mamelodi, al ahly n.k
Umeandika uongo ambao CAF wakisoma watalia sana.Yanga haijulikani CAF.Nimemaliza.Hata ukilia sibadilishi mwandiko.
 
Kuna misemo unakutana nayo unaamua kuipuuza ila yenyewe inakufata kimyakimya bila kelele.

Haka ka msemo ka "if you live in the past future will never find you" kwasasa naanza kuona umuhimu wake
 
Ni kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
Kwe
Mimi Simba lakini kulinganisha mafanikio ya Yanga na Sinba ni aibu, tupambane tufike hata nusu fainali shirikisho, maana kule club bingwa ni wakubwa tu kama yanga, mamelodi, al ahly n.k
Acha uongo
 
Watu bana wakilazimisha furaha iliyopotea... Yaan we na uzeee wako unaweweseka na Ushindi wa yanga?. Mm nikajua Kuna mtu unabishana nae kumbe ni matokeo ya Jana?.
 
Woyoooooooooooooooo!!!!!!
Nyundo1.jpg
 
Back
Top Bottom