MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Umeandika uongo ambao CAF wakisoma watalia sana.Yanga haijulikani CAF.Nimemaliza.Hata ukilia sibadilishi mwandiko.Mimi Simba lakini kulinganisha mafanikio ya Yanga na Sinba ni aibu, tupambane tufike hata nusu fainali shirikisho, maana kule club bingwa ni wakubwa tu kama yanga, mamelodi, al ahly n.k
KweNi kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
Acha uongoMimi Simba lakini kulinganisha mafanikio ya Yanga na Sinba ni aibu, tupambane tufike hata nusu fainali shirikisho, maana kule club bingwa ni wakubwa tu kama yanga, mamelodi, al ahly n.k
Hizo data mwakani zitabadilika zinawapumbaza mwaka huu tuHata tukiandika kwa uchungu tunaangalia vilabu bora Afrika kwenye kumi bora ni vipi?Naamini chura ni namba sita au tano Siyo?
Santi sana.Hongereni kwa ushindi mkubwa wanathimba.