Hakuna hakuna hakuna, mitaani kote nimefanya survey kubwa Tanzania nzima kwakweli kila kwenye watu mia basi watano ndio watasema CCM imefanya mazuri na yanahesabika. Ila wanaoiponda kwa ubaya wanayasema na hayana idadi ni malalamiko mengi sana.
Kuanzia wajasiriamali mpaka waliomo serikalini ,utasikia wakihusisha umasikini wao uliowakumba umesababishwa na watendaji wa CCM na serikali yao kuu kwa ujumla.
Wapo waliofukuzwa kazin na waliotapeliwa mazao yao. Ni mambo mengi sana, asilimia 95 wameisema CCM na serikali yake kuwa imewasababishia majuto hawajapata kuyaona.