Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Wewe hutaki janja janja wakati Magufuli mwenyewe anaishi kijanjajanja. Angalia audit query ya CAG katumia Tsh 1.5 Trillion bila maelezo.Ni kweli nimepigika sana Mzee!! Ila kwa kipindi kile nilikuwa napata pesa janja janja sana.
Mfano: Pesa ya kununua mafuta ya gari yangu sikuwahi draw bank/pesa ya mshahara bali kitengo changu kilikuwa kinaruhusu hizi janja janja napata pesa ya kujaza mafuta full tank kila siku na bado nibaki na vijicent vya kukatia mitaa.
Nimeokoka now, sitaki janja janja tena hizi
Msitudanganye kuwa eti tunaolalamika tulikuwa tuinaishi kifisadi wakati nyie ndiyo mumeshikilia misahafu ya ufisadi kwenye awamu hii.