Wewe hutaki janja janja wakati Magufuli mwenyewe anaishi kijanjajanja. Angalia audit query ya CAG katumia Tsh 1.5 Trillion bila maelezo.Ni kweli nimepigika sana Mzee!! Ila kwa kipindi kile nilikuwa napata pesa janja janja sana.
Mfano: Pesa ya kununua mafuta ya gari yangu sikuwahi draw bank/pesa ya mshahara bali kitengo changu kilikuwa kinaruhusu hizi janja janja napata pesa ya kujaza mafuta full tank kila siku na bado nibaki na vijicent vya kukatia mitaa.
Nimeokoka now, sitaki janja janja tena hizi
Nape katika ubora wake.Hakika mkuu.View attachment 1605836
Vijana wepi unaowaagiza? Hawa wanaozurura na bahasha za kaki kusaka ajira tangu 2015? Au Hawa wanaoitwa kwenye interview ya nafasi tatu Kisha wao kuwa elfu mbili? Au Hawa wanaokatwa 15% na bodi ya mikopo? Ni vijana wepi wanaotaka kusota kwa miaka mwingine mitano?Vijana wote kwa pamoja kura zetu ni kwa JPM.
#JPM mitano tena.
Subiri baada ya terehe 28 October ndo atajua ni vijana wepi.Vijana wepi unaowaagiza? Hawa wanaozurura na bahasha za kaki kusaka ajira tangu 2015? Au Hawa wanaoitwa kwenye interview ya nafasi tatu Kisha wao kuwa elfu mbili? Au Hawa wanaokatwa 15% na bodi ya mikopo? Ni vijana wepi wanaotaka kusota kwa miaka mwingine mitano?
Najua hujui kuwa zilinadiwa nafasi 13000 za ualimu tangu mwezi wa Jana na vijana zaidi ya 80,000 wameomba nafasi hizo Hadi Sasa zimebaki siku 9 tuingie kuchagua na ajira hazijatoka! Unadhani yupo kijana atakayekwenda kumchafua wa ccm ilihali anajua anakwenda kujifunga kifungo Cha kukosa ajira? Tafakari Tena juu ya vijana Hawa wanaotaabika kwa makosa ya ccm! Na ccm imeyasahau maneno ya Lowassa kuwa vijana ni bomu linalokaribia kulipuka na wakati wake ni Sasa!
Labda wale wa kutoka Burundi!Subiri baada ya terehe 28 October ndo atajua ni vijana wepi.
View attachment 1606226
View attachment 1606227
View attachment 1606228
View attachment 1606229
Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana. Watanzania wazalendo wote, tunakwenda na JPM.