BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Never give up.
Watu wanafanya kila liwezekanalo kupata majibu ya changomoto zao funfact majibu hayapatikani na hali inazidi kuwa mbaya. No ones care na sio kwa sababu watu wana roho mbaya hapana kila mtu ana msalaba wake.
Sometimes inabidi tuache maisha yaflow yenyewe jinsi yanavyotaka kama tumeshindwa kuyafanya tunavyotaka.