Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA 😔
Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja hajaamua kuweka wazi majaribio kadhaa yaliyoshindwa katika harakati za kukwepa huo uvumilivu.
Usikae vijiweni ukaanza kujisifu namna unavyovumiliwa na umaskini wako kama sifa nzuri, hakuna awezaye kufanya hivyo maisha yote na ukimuona basi kuna uwezekano mkubwa kakosa pakwenda akaone tu akae kwako kwa vile hana namna.
UNAWEZAJE KUVUMILIA SHIDA MAISHA YOTE?
Hata kama ni wewe jaribu kujiambia ukweli bila kujidanganya hivi unaweza kuvumilia shida maisha yako yote ilihali kuna sehemu kuna raha? Yaani uvumilie kuvaa hovyo, kula mlo mmoja maisha yote na kulalia maboksi mpaka mbavu zinauma kwa maisha yote?
SIRI YA UVUMILIVU IPO HIVI
1. Watakuvumilia kwa sababu wanajua haitakuwa maisha yote.
2. Watakuvumilia kwa kukutia moyo mwanzoni wakijua kesho itakuwa neema yenu.
BAADA YA HAPA HAKUNA WA KUKUVUMILIA LA SIVYO HAWANA PAKWENDA.
Wakiona muda unapita na faraja haiji basi utaanza kuona dharau inachipukia kidogo kidogo na hapo ule muda wa ukomo unakuwa umefika kwao.
Hapa wataanza majaribio kadhaa ya siri ya kukukwepa ambapo wakifanikiwa ndio utabaki ukilia kuwa umeachwa kwa umaskini wako .
Kwenye majaribio wakishindwa basi wataamua tu kubaki na wewe ila sio kwamba wanakuvumilia ni vile tu hawana pakwenda.
TUTAFUTE TU PESA
Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako