Hakuna anayeweza kuvumilia umaskini wako maisha yote ni vile tu hana pakwenda

What you have said is naked true.
Not exactly. Let him or her know that; If you have come here to live a "spoon fed" type of life, then you have set your foot on the wrong partner. But if you (he/she) have come to join and participate actively in the struggle to achieve a life development or improvement, then these flabbergasted ideas will have no room in the mind. Eti unakimbia?? "Ukiona kwako kunaungua, kwa mwenzio kunateketea"
 
Hiyo ni myth bwana mdogo...

Ndoa nyingi tu zinavunjika huku wana ndoa wakiwa na ukwasi mzuri tu..

Maisha ya ndoa ni zaidi ya mali, ndoa zina mitihani ambayo pesa haiwezi yasovu...

Pesa ni shetani, na popote alipo shetani najua unajua huwa anafurahia nini...

Ushawahi jiuliza kwa nn mahusiano ya wenye pesa ndiyo yenye misukosuko zaidi kuliko ya wasio na pesa?
Huo ni uwongo kijana
 
umejitahidi kuandika facts na content yenye maana...lakini iko hivi mkuu wanaoleta changamoto kwenye ndoa ama mahusiano ni wanawake kwa asilimia kubwa

Mwanamke uwe unamiliki pesa atakusumbua uwe huna pesa atakusumbua.kwa kifupi hawaeleweki ukipata ambacho huna wanatafuta kasoro ingine.

Ndoa ambazo mwanamke ana nguvu kiuchumi kuliko mwanaume ndo huwa zinadumu siku zote,wanaume huwa si wasumbufu
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA 😔

Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja hajaamua kuweka wazi majaribio kadhaa yaliyoshindwa katika harakati za kukwepa huo uvumilivu.

Usikae vijiweni ukaanza kujisifu namna unavyovumiliwa na umaskini wako kama sifa nzuri, hakuna awezaye kufanya hivyo maisha yote na ukimuona basi kuna uwezekano mkubwa kakosa pakwenda akaone tu akae kwako kwa vile hana namna.

UNAWEZAJE KUVUMILIA SHIDA MAISHA YOTE?

Hata kama ni wewe jaribu kujiambia ukweli bila kujidanganya hivi unaweza kuvumilia shida maisha yako yote ilihali kuna sehemu kuna raha? Yaani uvumilie kuvaa hovyo, kula mlo mmoja maisha yote na kulalia maboksi mpaka mbavu zinauma kwa maisha yote?

SIRI YA UVUMILIVU IPO HIVI

1. Watakuvumilia kwa sababu wanajua haitakuwa maisha yote.

2. Watakuvumilia kwa kukutia moyo mwanzoni wakijua kesho itakuwa neema yenu.

BAADA YA HAPA HAKUNA WA KUKUVUMILIA LA SIVYO HAWANA PAKWENDA.

Wakiona muda unapita na faraja haiji basi utaanza kuona dharau inachipukia kidogo kidogo na hapo ule muda wa ukomo unakuwa umefika kwao.

Hapa wataanza majaribio kadhaa ya siri ya kukukwepa ambapo wakifanikiwa ndio utabaki ukilia kuwa umeachwa kwa umaskini wako .

Kwenye majaribio wakishindwa basi wataamua tu kubaki na wewe ila sio kwamba wanakuvumilia ni vile tu hawana pakwenda.

TUTAFUTE TU PESA

Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako
dada kama ww unahisi kuna ap kwenda wenzako wanajua mpambanaji hakosi kwahyo ukiamua kumuacha jamaa ukaenda kuliwa nje sio kila mwanamke atafanya hivyo wapo wanaoamini kwenye kujijenga toka chini.....
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA [emoji17]

Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja hajaamua kuweka wazi majaribio kadhaa yaliyoshindwa katika harakati za kukwepa huo uvumilivu.

Usikae vijiweni ukaanza kujisifu namna unavyovumiliwa na umaskini wako kama sifa nzuri, hakuna awezaye kufanya hivyo maisha yote na ukimuona basi kuna uwezekano mkubwa kakosa pakwenda akaone tu akae kwako kwa vile hana namna.

UNAWEZAJE KUVUMILIA SHIDA MAISHA YOTE?

Hata kama ni wewe jaribu kujiambia ukweli bila kujidanganya hivi unaweza kuvumilia shida maisha yako yote ilihali kuna sehemu kuna raha? Yaani uvumilie kuvaa hovyo, kula mlo mmoja maisha yote na kulalia maboksi mpaka mbavu zinauma kwa maisha yote?

SIRI YA UVUMILIVU IPO HIVI

1. Watakuvumilia kwa sababu wanajua haitakuwa maisha yote.

2. Watakuvumilia kwa kukutia moyo mwanzoni wakijua kesho itakuwa neema yenu.

BAADA YA HAPA HAKUNA WA KUKUVUMILIA LA SIVYO HAWANA PAKWENDA.

Wakiona muda unapita na faraja haiji basi utaanza kuona dharau inachipukia kidogo kidogo na hapo ule muda wa ukomo unakuwa umefika kwao.

Hapa wataanza majaribio kadhaa ya siri ya kukukwepa ambapo wakifanikiwa ndio utabaki ukilia kuwa umeachwa kwa umaskini wako .

Kwenye majaribio wakishindwa basi wataamua tu kubaki na wewe ila sio kwamba wanakuvumilia ni vile tu hawana pakwenda.

TUTAFUTE TU PESA

Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako
Hii hoja siiungi "mkono" naiunga "mikono yote miwili na miguu"
 
Watu aina yako Huwa nawadharau sana!!

Wanaoamini eti ukiwa na pesa una uhakika was mapenzi ya kudumu ,huo ni ujinga na kutokukomaa kiakili!!

Cha msingi omba mungu update pea yako itakayo kuwa tayari ku survive na wewe no matter what!!

Ukijidanganya ni pesa ,pesa utapata na utaachwa na ataenda jwa boda boda!!

Ricardo kaka amaeachwa Kwa mpenzi wake kuomba talaka Lisa eti kaka ni mwaminifu Sana yaani hampi changamoto huyo mwanamama!!

Binadamu ni very complex sana,mwanzoni anaweza kuzuzuka na pesa na miradi yako baadae akiridhika na halo yako ataanza kutafuta changamoto mpya iliyotofauti na ya kwako!!

Msiwe mnajidanganya,ndio maana psychologists hawakutaka kabisa kuwatumia binadamu kama sample study wakijua anaweza ku pretend!!!

Nina mwanamke ndani humu anazikumbuka Dana chips alizonunuliwa na mdogo wangu kipindi kile nilipoenda kumtambulisha kwake pale sokoni mwaka was kumi huu,wakati hapa kwangu Kuna mayai na viazi mviringo anajipikia Kila siku lakini nakumbuka chip's Cha dogo Tena chips yai kama hizi za hapa!!Sasa sijui ni chips au alimfeel dogo!!

"Pesa ni muhimu kwenye mapenzi lakini sio suluhisho la kudumu Kwa mapenzi kati ya wapendanao"

Unaweza ukawa nazo na akakuacha hapo hapo!!

Halafu kuishi na mtu ndani anakupendea hela hicho ni kinyaa kama kukanyaga mavi vile,maana yake wewe huna thamani kwake Bali karatasi ziitwazo Hela ndio Zina thamani kwake!!

Chukua hiyo!!
Umeongea ukweli mtupu mkuu, hongera sana
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA 😔

Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja hajaamua kuweka wazi majaribio kadhaa yaliyoshindwa katika harakati za kukwepa huo uvumilivu.

Usikae vijiweni ukaanza kujisifu namna unavyovumiliwa na umaskini wako kama sifa nzuri, hakuna awezaye kufanya hivyo maisha yote na ukimuona basi kuna uwezekano mkubwa kakosa pakwenda akaone tu akae kwako kwa vile hana namna.

UNAWEZAJE KUVUMILIA SHIDA MAISHA YOTE?

Hata kama ni wewe jaribu kujiambia ukweli bila kujidanganya hivi unaweza kuvumilia shida maisha yako yote ilihali kuna sehemu kuna raha? Yaani uvumilie kuvaa hovyo, kula mlo mmoja maisha yote na kulalia maboksi mpaka mbavu zinauma kwa maisha yote?

SIRI YA UVUMILIVU IPO HIVI

1. Watakuvumilia kwa sababu wanajua haitakuwa maisha yote.

2. Watakuvumilia kwa kukutia moyo mwanzoni wakijua kesho itakuwa neema yenu.

BAADA YA HAPA HAKUNA WA KUKUVUMILIA LA SIVYO HAWANA PAKWENDA.

Wakiona muda unapita na faraja haiji basi utaanza kuona dharau inachipukia kidogo kidogo na hapo ule muda wa ukomo unakuwa umefika kwao.

Hapa wataanza majaribio kadhaa ya siri ya kukukwepa ambapo wakifanikiwa ndio utabaki ukilia kuwa umeachwa kwa umaskini wako .

Kwenye majaribio wakishindwa basi wataamua tu kubaki na wewe ila sio kwamba wanakuvumilia ni vile tu hawana pakwenda.

TUTAFUTE TU PESA

Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako
KAMA HAWEZI KUVUMILIA WA KWANGU SI AQE TAJIRI YEYE? FAMNAFU
 
Ukweli mchungu huo, sisi wanawake tunapenda vitu vya kijinga kijinga km pesa 😜
 
Back
Top Bottom