Hakuna anayeweza kuvumilia umaskini wako maisha yote ni vile tu hana pakwenda

What you have said is naked true.
Not exactly. Let him or her know that; If you have come here to live a "spoon fed" type of life, then you have set your foot on the wrong partner. But if you (he/she) have come to join and participate actively in the struggle to achieve a life development or improvement, then these flabbergasted ideas will have no room in the mind. Eti unakimbia?? "Ukiona kwako kunaungua, kwa mwenzio kunateketea"
 
Huo ni uwongo kijana
 
umejitahidi kuandika facts na content yenye maana...lakini iko hivi mkuu wanaoleta changamoto kwenye ndoa ama mahusiano ni wanawake kwa asilimia kubwa

Mwanamke uwe unamiliki pesa atakusumbua uwe huna pesa atakusumbua.kwa kifupi hawaeleweki ukipata ambacho huna wanatafuta kasoro ingine.

Ndoa ambazo mwanamke ana nguvu kiuchumi kuliko mwanaume ndo huwa zinadumu siku zote,wanaume huwa si wasumbufu
 
dada kama ww unahisi kuna ap kwenda wenzako wanajua mpambanaji hakosi kwahyo ukiamua kumuacha jamaa ukaenda kuliwa nje sio kila mwanamke atafanya hivyo wapo wanaoamini kwenye kujijenga toka chini.....
 
Hii hoja siiungi "mkono" naiunga "mikono yote miwili na miguu"
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu, hongera sana
 
KAMA HAWEZI KUVUMILIA WA KWANGU SI AQE TAJIRI YEYE? FAMNAFU
 
Ukweli mchungu huo, sisi wanawake tunapenda vitu vya kijinga kijinga km pesa 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…