Mkuu ulikua kwenye kichwa changu kabisaaa naona RASMI CHADEMA inazikwa mwaka huu kwa mipango mibovu na ujinga wa kiharakati ukiemda kwa page za X za Hilda na Maria utagundua wameanza kupigwa spanaNo strategies,no solutions. Yaani Maria na Mange hawana akili. Na leo ndo mwisho wa Chadema.
Acha mbwembwe kijana!Labda huko kwenu ndo hawana bunduki! mi niko hapa Turwa shuleni hapa Tarime nikiwa pamoja na marafiki zangu kama 6 tunasubiri watu wajae road tukaunge tera! tumejiandaa vilivyo! Sisi hatujatoka kuandamana bali tumetoka kulipa kisasi kwa polisccm kwa walivyotuulia marafiki zetu na ndugu zetu. Kuna rafiki yangu mmoja hapa babaake aliuawa na yeye alikuwa amekamatwa! Ana uchungu balaa. Labda watu wasiwe wengi road lakini vinginevyo mtasikia Tarime polisccm kadhaa wame........ Naishia hapa!
sawa! Leo siongei sana.Acha mbwembwe kijana!
Let me tell you.Kwanza Chadema walitakiwa washiriki uchaguzi.Kwa sheria hizi hizi zilizopo ..Na kama wangeibiwa kura ndo sasa wangekinukisha na hapo wananchi wangewasupport kwa asilimia 100 maana hawampendi Samia.....sema Lissu na ukilaza wake eti akaja na no reforms no elections. Hata Raila aliwashauri washiriki uchaguzi. Chadema bye bye .Too sad nchi kukosa upinzani sababu ya watu wasioaanalyse concenquences za maamuzi yao.Mkuu ulikua kwenye kichwa changu kabisaaa naona RASMI CHADEMA inazikwa mwaka huu kwa mipango mibovu na ujinga wa kiharakati ukiemda kwa page za X za Hilda na Maria utagundua wameanza kupigwa spana
Maria anablok kila aliyetofauti nae kujifariji .... Hakuna hata mmoja aliekua akihamasisha saa moja asubuhi kajirekodi hata nje ya nyumba yake akioiga mswaki.. wote hawapo ngoja ilie risasi moja uone watakavyolipuka mitandaoni.
Hii tabia ya kulala na vijana wenzako imeanza lini?Nipo jf nafatilia mada alaf baadae kitaaa.. Baada ya makojoziii
View attachment 3513333