Hakuna Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) maskini

Ni kweli huwa wanapata hela Ila kutokana na kuwa hizo hela huwa hazitokani na JASHO lao basi wengi huwa wanakuaga na ile mentality ya kutumia Sana wakiamini na kesho watapata tena.

Moja ya watu huwa wanamaliza career zao wakiwa broke ni watu wa majeshi wachache ndo hufanikiwa kuwa na mafanikio endelevu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…