Hakuna biashara inayolipa sana zaidi Tanzania kama "siasa"

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
 
jicho lako limeona hapo lkn.....
 
images (26).jpeg
 
Leo ndio unafahamu Duniani kote kwenye siasa ndipo kwenye masilahi,na ndipo unaweza acha legacy ukakumbukwa karne na karne,na popote penye masilahi kuna upinzani.
 
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
siasa ni utumishi wa umma, kinyume na hapo labda itakua uganga Lakini sio biashara 🐒
 
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Siasa ni mchongo unaotaka watu wabuni mchongo ili upatikane mchongo.
Zinahitajika D mbili kuelewa
 
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Hata Rais mwenyewe aliwapa "green light" wateule wake ya "kuiba" Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!😳
 
L
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
akini na baadaye kutokana na kuwatendea vibaya wengine hujikuta wamo ndani ya maradhi makubwa makubwa na huwa wanaishi na Stress maisha yao yote !!
KARMA. 😳🤦🏽‍♂️
 
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Mwigulu aliacha BOT akiwa mchumi wa kawaida akaenda kuwa bilionea kwenye siasa na kuwa bosi wa GAVANA wa BOT.
 
biashara 3 zinazolipa zaidi Tanzania ni;-
1.Siasa
2.Injili(kumiliki kanisa)
3.Kamari(kuimiliki kampuni ya)
 
Injili siyo biashara, labda kwa wale wenye zile dini ambazo waumini wao wanajipanga barabarani na kuomba na wanapata msaada kutoka watu wa mashariki ya kati.

Taja kiongozi wa dini , yeyote yule kwa Tanganyika anayemfikia Mzazi mwenza wa Kidoti kwa utajiri.
 
Uko serious kweli? Unajua pesa wanayomiliki wachungaji ie; Mwamposa, ngwajima, kakobe and the like? Na zaidi ni wepesi wa namna wanavyoipa bila kuwa na headache ya kodi
 
Back
Top Bottom