Hakuna biashara inayolipa sana zaidi Tanzania kama "siasa"

Hakuna biashara inayolipa sana zaidi Tanzania kama "siasa"

Uko serious kweli? Unajua pesa wanayomiliki wachungaji ie; Mwamposa, ngwajima, kakobe and the like? Na zaidi ni wepesi wa namna wanavyoipa bila kuwa na headache ya kodi
Hawa wafikii wanasiasa kk, kikwete is trillioner
 
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.

Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Nenda uwe mwanasiasa ukajibebee madhambi tele!
 
Back
Top Bottom