siasa ni utumishi wa umma, kinyume na hapo labda itakua uganga Lakini sio biashara πTanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.
Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Siasa ni mchongo unaotaka watu wabuni mchongo ili upatikane mchongo.Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.
Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Hata Rais mwenyewe aliwapa "green light" wateule wake ya "kuiba" Kwa Kula Kwa urefu wa kamba zao!π³Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.
Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
akini na baadaye kutokana na kuwatendea vibaya wengine hujikuta wamo ndani ya maradhi makubwa makubwa na huwa wanaishi na Stress maisha yao yote !!Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.
Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Na ujiandae na magonjwa Sugu π πBiashara hii inakuhitaji uwe 'fit' muda wote
Mwigulu aliacha BOT akiwa mchumi wa kawaida akaenda kuwa bilionea kwenye siasa na kuwa bosi wa GAVANA wa BOT.Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana.
Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist .
Injili siyo biashara, labda kwa wale wenye zile dini ambazo waumini wao wanajipanga barabarani na kuomba na wanapata msaada kutoka watu wa mashariki ya kati.biashara 3 zinazolipa zaidi Tanzania ni;-
1.Siasa
2.Injili(kumiliki kanisa)
3.Kamari(kuimiliki kampuni ya)
Uko serious kweli? Unajua pesa wanayomiliki wachungaji ie; Mwamposa, ngwajima, kakobe and the like? Na zaidi ni wepesi wa namna wanavyoipa bila kuwa na headache ya kodiInjili siyo biashara, labda kwa wale wenye zile dini ambazo waumini wao wanajipanga barabarani na kuomba na wanapata msaada kutoka watu wa mashariki ya kati.
Taja kiongozi wa dini , yeyote yule kwa Tanganyika anayemfikia Mzazi mwenza wa Kidoti kwa utajiri.
Huyo sahv ana ukwasi wa hatariMwigulu aliacha BOT akiwa mchumi wa kawaida akaenda kuwa bilionea kwenye siasa na kuwa bosi wa GAVANA wa BOT.
Nimeipenda hiiSiasa ni mchongo unaotaka watu wabuni mchongo ili upatikane mchongo.
Zinahitajika D mbili kuelewa