Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi.
Uwepo wa matangazo ya CCM ya uchaguzi Ina maanisha hakuna biashara nyingine zilizo tayari kutangaza kwenye hayo mabango ili miji ijipatie mapato au CCM bado wanaendelea kuyalipia hayo matangazo yao kwenye hayo mabango?