For sureDalili ya uchumi dhaifu
Ccm ile ni CartelUkitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi.
Uwepo wa matangazo ya CCM ya uchaguzi Ina maanisha hakuna biashara nyingine zilizo tayari kutangaza kwenye hayo mabango ili miji ijipatie mapato au CCM bado wanaendelea kuyalipia hayo matangazo yao kwenye hayo mabango?
Ukifika kahama,geita,katoro na mwanza hakuna mabango kabisa ya uchaguzi.Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi.
Uwepo wa matangazo ya CCM ya uchaguzi Ina maanisha hakuna biashara nyingine zilizo tayari kutangaza kwenye hayo mabango ili miji ijipatie mapato au CCM bado wanaendelea kuyalipia hayo matangazo yao kwenye hayo mabango?
CCM wanalipia hayo mabango?Kuna hofu ya kuyatoa hayo mabango yenye picha za bibi Kizimkazi na CCM. Mtoaji anaweza kupotezwa au kufukuzwa kazi.
Mwishowe unakuta prime location ambayo iko hot kwa ajili ya mabango ya biashara ina picha za bibi Kizimkazi au CCM. Risk ya kuyabadilisha hayo mabango bora waachiwe CCM wenyewe.
Na matangazo ya Biashara.Inashindana na nani?
Geita na Katoro za wapi?Katoro bado hadi vibendera vipo.Nyankumbu hipo wapi wewe?barabara ya Nyankumbu katoro mabango yamejaa ukienda huko Chato ndio unaweza kusema kampeni zimeanza au huwa unasafiri usiku mwenzetu?Ukifika kahama,geita,katoro na mwanza hakuna mabango kabisa ya uchaguzi.
Mm naonglea mjini wewe una sema nyankumbu na chato.Geita na Katoro za wapi?Katoro bado hadi vibendera vipo.Nyankumbu hipo wapi wewe?barabara ya Nyankumbu katoro mabango yamejaa ukienda huko Chato ndio unaweza kusema kampeni zimeanza au huwa unasafiri usiku mwenzetu?
Kwani Nyankumbu hipo Geita vijijini?Geita unaijua au unapita tu.Yani unataka kusema Nyankumbu sio Geita mjini?Hiyo Chato nimekupa kama ziada.Katoro lini umeenda wewe?acha kudanganya watuMm naonglea mjini wewe una sema nyankumbu na chato.
Wenye nchi walipie ili iweje?CCM wanalipia hayo mabango?