HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake
.Hata hao wanaotaka reform ni ili wapate nafasi ya kwenda kula keki ya taifa tu hakuna mwenye uchungu na mtanzania hata mmoja kati yao hawajafika bei tu.
Mwanadamu anayetumikia wengine ni mtumishi wa umma na analipwa kwa kazi hiyo.Pambana mkuu hakuna mwanasiasa yeyote narudis yeyote atakaye kutumikia
Kwahiyo unamaanisha yule aliyeolewa ubelgiji ndiye anayetufaa, au sio?😄😄😄😄Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake