Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

Hata wewe gaidi
 
Pole kijana
 
Hawakufanya mauaji kwakua ni mtanzania, wao ni kuona ni mtu anaeshirikiana na Israel kwenye kupikonywa ardhi,
Ona hiki kichwa, mtu mweusi unayeona ni Muafrika amechukuaje ardhi hapo Palestina?
kumbuka mashamba wanayofanyia kazi ni maeneo yenye migogoro
Kuna Wapalestina zaidi ya laki moja walikuwa kwenye mashamba ya Waisrael mbona hawakuuwawa, wakaja kuuwawa Watanzania?

Maelfu ya Wapalestina wanaomba kazi Israel na wanaomba Allah wapate hizo kazi na wakikosa wanasikitika. Kwanini Hamas isianze kuua hao Wapalestina

Its simple, Joshua Mollel kauwawa na Hamas sababu ni mweusi na sio dini yao.
 
Ni Ma.pumbavu
 
Wapalestina wanatakiwa kupambana au kupigana na maadui zao sahihi, tena kwa kutumia njia zilizo sahihi. Kitendo cha kuua watu(raia) hovyo indiscriminately tena raia wasiokuwa na silaha ni UGAIDI. Huwezi kusema unapigania haki kwa kuua watu hovyo, mbaya zaidi unaua watu wasio na silaha, tena watu ambao hawana hatia.
Kataa Ugaidi!
Piga Vita Ugaidi!
Piga Vita Magaidi wakiwamo HAMAS!
 
Daaah! Basi tu
 
Mbona mnakua mnajidhalilisha. Hakuna posts wala threads wala mijadala online kipindi azory anauwawa za kukemea na kuuliza alipo azory au saanane?mbona mnafanya hata mm mbeba tofar nisiye na elimu nikuoneni nyinyi wenye elimu vyeti ni hasara kwa taifa.
 
Naunga mkono hoja.
Ninachoshangazwa ni namna mnaopambania haki za raia wa Gaza na Ukraine, lakini sijawahi kuona anayekerwa na yanayotukia ndani ya bara la Afrika...

Hatukatai, Gaza ni janga kubwa kwa sababu upumbavu wa kuamua kuua raia kupitia silaha unafanywa na wahitimu wenye elimu na ustaarabu wa kutosha.

Lakini ukiangalia Gaza ealiopoteza maisha ni wengi na hawafikii idadi ya wanaouawa Afrika kupitia vita ambazo haziripotiwi lakini zipo

Tupunguze unafiki, tuanze kujisahihisha sasa kwani kuzungumzia Gaza bila kuizungunzia Afrika ni kujipendekeza kwa wasiokutaka
 
SISI WAKRISTO TUMESHASAMEHE JAPO INAUMA

TUMEJENGWA KWENYE MSINGI WA UPENDO KATIKA KRISTO

LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO MILELE
Huku kusamehe samehe kwa wakristo ndiko kuna ifanye jamii ya watu weusi izidi kuangamia duniani kote, tumeipokea dini vibaya
 
Kwa hiyo baada ya kukemea na kuuliza, mkaishia hapo hapo!! Nilitegemea mngeandamana kama mnavyo hamasishana kwenye hivi vifo vya hawa Watanzania waliouwawa na Hamas.
 
SISI WAKRISTO TUMESHASAMEHE JAPO INAUMA

TUMEJENGWA KWENYE MSINGI WA UPENDO KATIKA KRISTO

LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO MILELE
Sasa hapa na wewe Ukristo unaingiaje? Nyie ndio mnatutia aibu wakristo kwa akili zenu fupi na kusababisha mashindano ya kidini humu JF bila sababu yoyote ile.
 
Tuambie umuhimu wa hao wapalestina Kwetu sisi WaTanzania pia kama wa Afrika?

Congo na sudani ambao ni jilani zetu weusi wenzetu Ila wako na vita kila siku nioneshe thread ulio anzisha Kwa ajili ya kukemea hivyo vita

Huna lolote ume side kwa wapalestina only because of Religion brainwashed fullstop

Kama unakemea walicho Fanya Hamas na bado unapongeza harakati zao wewe ni kinyonga eleweka TU wapongeze Hamas kwa kuuwa mdogo wetu basi rumbereree nyiiingi za nini
 
Nakubaliana na wewe kwamba wapo wa-Tanzania wengi ambao ni wanafiki. Lakini sikubaliani na wewe kuhusu hoja yako ya kwamba wa-Tanzania wamekuwa hawalaani kuhusu matukio ya uhalifu yanayofanywa na Watanzania wenzao au yanayofanywa na vyombo vya Dola kama Polisi. Je, ni kweli kwamba wa-Tanzania hawakulaani au kuchukizwa na matukio ya uhalifu kama like la kuuawa Daudi Mwangosi, kutekwa Ben Saanane, Azory Gwanda na matukio mengine kama hayo eti kwa sababu matukio hayo yalifanywa na wa-Tanzania wenzetu? Alivyotekwa Mo Dewji watu hawakulalamika??????
 
Reslimali zaTaifa zinazobwa kuwa embezzled na watawala zinasababisha maafa kuliko hata maafa ya Huko Asia , sasa jitu linaskia mama mjamzito amekufa kwa kukos alaki na nusu halinyanyui mdomo ila linatetea habari za Magaidi ya Hamas na houth.
 
Kwa hiyo baada ya kukemea na kuuliza, mkaishia hapo hapo!! Nilitegemea mngeandamana kama mnavyo hamasishana kwenye hivi vifo vya hawa Watanzania waliouwawa na Hamas.
Wanawapenda Magaidi kuliko ndugu zao Watanganyika, hii ndio sura halisi ya Wengi , ndiposa walikuwa wanataka kuandamana kuunga mkono magaidi ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…