Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

Misri imekata kutambua, Saudi Imekataa, Syria mewakata, Dunia ni nani? hao mnaowaiya makafikiri?
Si, wapalestina waende kwa hao wenzao wanao waunga mkono, Misri imejenga ukuta mkubwa zaidi na fensi ya umeme!

dunia una maanisha nchi gani?
Wewe kama mnyaturu wa Tanganyika unamuonea huruma Gaidi la kislamu linaloua mtanganyika mwenzako kwa kumchoma visu 13 na kumpiga risasi 21 huku likita alahu akbar? Umeona video ? Hilo gaidi ndio la kuonewa huruma?
Hata wewe gaidi
 
true man!!!...kuna wa2 wajinga sana humu,wana akili na fikra za kitumwa,,unakumbuka wale jamaa wa islamic state,mwaka si ukumbuki lani ni kati ya 2017-2021 kama sikosei,,,walikamata weusi waliokuwa wakienda ulaya pale libya,wakawavalisha vitamba kichwa kizima,wakawavalisha mavazi mekundu[walikuwa waafrika kama 100 hivi]alafu wakasema TAKBIIR!!,,then wakawachinja kuanzia nyuma da!!! alaf si unaonaga wafanya kaziwa ndani wakienda arabuni kufanya wanavoteswa!!!,,,,then waambie hao wanaoshangilia hao wauaji,,,,,,waende kwenye familia yoyote ya kiarabu watoe posa kama watakubaliwa!!!!!!!!...........idiots!! shame!!
Pole kijana
 
Hawakufanya mauaji kwakua ni mtanzania, wao ni kuona ni mtu anaeshirikiana na Israel kwenye kupikonywa ardhi,
Ona hiki kichwa, mtu mweusi unayeona ni Muafrika amechukuaje ardhi hapo Palestina?
kumbuka mashamba wanayofanyia kazi ni maeneo yenye migogoro
Kuna Wapalestina zaidi ya laki moja walikuwa kwenye mashamba ya Waisrael mbona hawakuuwawa, wakaja kuuwawa Watanzania?

Maelfu ya Wapalestina wanaomba kazi Israel na wanaomba Allah wapate hizo kazi na wakikosa wanasikitika. Kwanini Hamas isianze kuua hao Wapalestina
Screenshot_20231218-133936~2.png

Its simple, Joshua Mollel kauwawa na Hamas sababu ni mweusi na sio dini yao.
 
true man!!!...kuna wa2 wajinga sana humu,wana akili na fikra za kitumwa,,unakumbuka wale jamaa wa islamic state,mwaka si ukumbuki lani ni kati ya 2017-2021 kama sikosei,,,walikamata weusi waliokuwa wakienda ulaya pale libya,wakawavalisha vitamba kichwa kizima,wakawavalisha mavazi mekundu[walikuwa waafrika kama 100 hivi]alafu wakasema TAKBIIR!!,,then wakawachinja kuanzia nyuma da!!! alaf si unaonaga wafanya kaziwa ndani wakienda arabuni kufanya wanavoteswa!!!,,,,then waambie hao wanaoshangilia hao wauaji,,,,,,waende kwenye familia yoyote ya kiarabu watoe posa kama watakubaliwa!!!!!!!!...........idiots!! shame!!
Ni Ma.pumbavu
 
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.

Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.

Hasira kali baada ya video ya Mtanzania kuuwawa na hamas, pole zaidi kwa familia, ameuwawa kikatili.

Humu ndani watu walikua wakishangilia mamia ya watu wakiuliwa gaza. Wale wanaoiuliwa nao wanadugu zao vile vile. Wanapata uchungu zaidi ya huu ambao watz wameupata.

Hakuna binadamu wa udongo

Sasa fikiria wewe ni mpaleatina, bulldozers za wayahudi limekuja likavunja kijiji chote, waliokaidi wakapigwa lisasi hapohapo, mashamba yenu ikafyekwa na mkafukuzwa.

Kisha siku mmepata njia ya kuresist mnakuta watu wanalima maeneo yenu. Na wanaishi mzingira ambayo mmefukuzwa na wengine waliuliwa.

Hasira ambazo watanzania wamezi feel, hayo ndio maisha ya wapalestina, hii haihalalishi mauaji bali inaonesha uhalisia wa mambo.

Hakuna binadamu wa udongo.

Asilimia kubwa humu ndani mngekua mnaishi palestine au mnapitia wanayoyapitia nanyi mgebeba siraha vile vile. Hakuna binadamu wa udogo, wanaouliwa miama yote kule gaza nao ni binadamu kama MOLLEL. Wana ndugu jamaa na marafiki. Na ndio wanaogeuka na kushika siraha.

Hakuna binadamu wa udongo.
Wapalestina wanatakiwa kupambana au kupigana na maadui zao sahihi, tena kwa kutumia njia zilizo sahihi. Kitendo cha kuua watu(raia) hovyo indiscriminately tena raia wasiokuwa na silaha ni UGAIDI. Huwezi kusema unapigania haki kwa kuua watu hovyo, mbaya zaidi unaua watu wasio na silaha, tena watu ambao hawana hatia.
Kataa Ugaidi!
Piga Vita Ugaidi!
Piga Vita Magaidi wakiwamo HAMAS!
 
Misri imekata kutambua, Saudi Imekataa, Syria mewakata, Dunia ni nani? hao mnaowaiya makafikiri?
Si, wapalestina waende kwa hao wenzao wanao waunga mkono, Misri imejenga ukuta mkubwa zaidi na fensi ya umeme!

dunia una maanisha nchi gani?
Wewe kama mnyaturu wa Tanganyika unamuonea huruma Gaidi la kislamu linaloua mtanganyika mwenzako kwa kumchoma visu 13 na kumpiga risasi 21 huku likita alahu akbar? Umeona video ? Hilo gaidi ndio la kuonewa huruma?
Daaah! Basi tu
 
Watanzania wengi ni wanafiki tu na pia ni watu wanaondeshwa na mihemko.

Watanzania hawa hawa huwezi kuwaona wakiwa na uchungu na Watanzania wenzao lukuki waliouwawa na polisi!! Kamwe huwezi kuwaona wakiwa na uchungu na Watanzania wenzao waliopotezwa na watu wasiojulikana!!

Ila kwa sababu wameiona hiyo clip ya huyo kijana, basi hatunywi maji. Kama tunataka kweli kupigania haki ya ndugu zetu wote wanao onewa na wengine, basi tuache unafiki, double standard, na mihemko.

Tunapoamua wote leo kuwalaani hao Hamas kwa mauaji ya huyo kijana wa Kitanzania, basi tuwalaani pia polisi wetu kwa mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi kule Nyololo Iringa, tuwalaani kwa mauaji ya wale wafanyabiashara waliowabambikia kesi ya ujambazi, tuwalaani waliowapoteza akina Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengineo wengi!
Mbona mnakua mnajidhalilisha. Hakuna posts wala threads wala mijadala online kipindi azory anauwawa za kukemea na kuuliza alipo azory au saanane?mbona mnafanya hata mm mbeba tofar nisiye na elimu nikuoneni nyinyi wenye elimu vyeti ni hasara kwa taifa.
 
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.

Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.

Hasira kali baada ya video ya Mtanzania kuuwawa na hamas, pole zaidi kwa familia, ameuwawa kikatili.

Humu ndani watu walikua wakishangilia mamia ya watu wakiuliwa gaza. Wale wanaoiuliwa nao wanadugu zao vile vile. Wanapata uchungu zaidi ya huu ambao watz wameupata.

Hakuna binadamu wa udongo

Sasa fikiria wewe ni mpaleatina, bulldozers za wayahudi limekuja likavunja kijiji chote, waliokaidi wakapigwa lisasi hapohapo, mashamba yenu ikafyekwa na mkafukuzwa.

Kisha siku mmepata njia ya kuresist mnakuta watu wanalima maeneo yenu. Na wanaishi mzingira ambayo mmefukuzwa na wengine waliuliwa.

Hasira ambazo watanzania wamezi feel, hayo ndio maisha ya wapalestina, hii haihalalishi mauaji bali inaonesha uhalisia wa mambo.

Hakuna binadamu wa udongo.

Asilimia kubwa humu ndani mngekua mnaishi palestine au mnapitia wanayoyapitia nanyi mgebeba siraha vile vile. Hakuna binadamu wa udogo, wanaouliwa miama yote kule gaza nao ni binadamu kama MOLLEL. Wana ndugu jamaa na marafiki. Na ndio wanaogeuka na kushika siraha.

Hakuna binadamu wa udongo.
Naunga mkono hoja.
Ninachoshangazwa ni namna mnaopambania haki za raia wa Gaza na Ukraine, lakini sijawahi kuona anayekerwa na yanayotukia ndani ya bara la Afrika...

Hatukatai, Gaza ni janga kubwa kwa sababu upumbavu wa kuamua kuua raia kupitia silaha unafanywa na wahitimu wenye elimu na ustaarabu wa kutosha.

Lakini ukiangalia Gaza ealiopoteza maisha ni wengi na hawafikii idadi ya wanaouawa Afrika kupitia vita ambazo haziripotiwi lakini zipo

Tupunguze unafiki, tuanze kujisahihisha sasa kwani kuzungumzia Gaza bila kuizungunzia Afrika ni kujipendekeza kwa wasiokutaka
 
SISI WAKRISTO TUMESHASAMEHE JAPO INAUMA

TUMEJENGWA KWENYE MSINGI WA UPENDO KATIKA KRISTO

LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO MILELE
Huku kusamehe samehe kwa wakristo ndiko kuna ifanye jamii ya watu weusi izidi kuangamia duniani kote, tumeipokea dini vibaya
 
Mbona mnakua mnajidhalilisha. Hakuna posts wala threads wala mijadala online kipindi azory anauwawa za kukemea na kuuliza alipo azory au saanane?mbona mnafanya hata mm mbeba tofar nisiye na elimu nikuoneni nyinyi wenye elimu vyeti ni hasara kwa taifa.
Kwa hiyo baada ya kukemea na kuuliza, mkaishia hapo hapo!! Nilitegemea mngeandamana kama mnavyo hamasishana kwenye hivi vifo vya hawa Watanzania waliouwawa na Hamas.
 
SISI WAKRISTO TUMESHASAMEHE JAPO INAUMA

TUMEJENGWA KWENYE MSINGI WA UPENDO KATIKA KRISTO

LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO MILELE
Sasa hapa na wewe Ukristo unaingiaje? Nyie ndio mnatutia aibu wakristo kwa akili zenu fupi na kusababisha mashindano ya kidini humu JF bila sababu yoyote ile.
 
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.

Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.

Hasira kali baada ya video ya Mtanzania kuuwawa na hamas, pole zaidi kwa familia, ameuwawa kikatili.

Humu ndani watu walikua wakishangilia mamia ya watu wakiuliwa gaza. Wale wanaoiuliwa nao wanadugu zao vile vile. Wanapata uchungu zaidi ya huu ambao watz wameupata.

Hakuna binadamu wa udongo

Sasa fikiria wewe ni mpaleatina, bulldozers za wayahudi limekuja likavunja kijiji chote, waliokaidi wakapigwa lisasi hapohapo, mashamba yenu ikafyekwa na mkafukuzwa.

Kisha siku mmepata njia ya kuresist mnakuta watu wanalima maeneo yenu. Na wanaishi mzingira ambayo mmefukuzwa na wengine waliuliwa.

Hasira ambazo watanzania wamezi feel, hayo ndio maisha ya wapalestina, hii haihalalishi mauaji bali inaonesha uhalisia wa mambo.

Hakuna binadamu wa udongo.

Asilimia kubwa humu ndani mngekua mnaishi palestine au mnapitia wanayoyapitia nanyi mgebeba siraha vile vile. Hakuna binadamu wa udogo, wanaouliwa miama yote kule gaza nao ni binadamu kama MOLLEL. Wana ndugu jamaa na marafiki. Na ndio wanaogeuka na kushika siraha.

Hakuna binadamu wa udongo.
Tuambie umuhimu wa hao wapalestina Kwetu sisi WaTanzania pia kama wa Afrika?

Congo na sudani ambao ni jilani zetu weusi wenzetu Ila wako na vita kila siku nioneshe thread ulio anzisha Kwa ajili ya kukemea hivyo vita

Huna lolote ume side kwa wapalestina only because of Religion brainwashed fullstop

Kama unakemea walicho Fanya Hamas na bado unapongeza harakati zao wewe ni kinyonga eleweka TU wapongeze Hamas kwa kuuwa mdogo wetu basi rumbereree nyiiingi za nini
 
Watanzania wengi ni wanafiki tu na pia ni watu wanaondeshwa na mihemko.

Watanzania hawa hawa huwezi kuwaona wakiwa na uchungu na Watanzania wenzao lukuki waliouwawa na polisi!! Kamwe huwezi kuwaona wakiwa na uchungu na Watanzania wenzao waliopotezwa na watu wasiojulikana!!

Ila kwa sababu wameiona hiyo clip ya huyo kijana, basi hatunywi maji. Kama tunataka kweli kupigania haki ya ndugu zetu wote wanao onewa na wengine, basi tuache unafiki, double standard, na mihemko.

Tunapoamua wote leo kuwalaani hao Hamas kwa mauaji ya huyo kijana wa Kitanzania, basi tuwalaani pia polisi wetu kwa mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi kule Nyololo Iringa, tuwalaani kwa mauaji ya wale wafanyabiashara waliowabambikia kesi ya ujambazi, tuwalaani waliowapoteza akina Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengineo wengi!
Nakubaliana na wewe kwamba wapo wa-Tanzania wengi ambao ni wanafiki. Lakini sikubaliani na wewe kuhusu hoja yako ya kwamba wa-Tanzania wamekuwa hawalaani kuhusu matukio ya uhalifu yanayofanywa na Watanzania wenzao au yanayofanywa na vyombo vya Dola kama Polisi. Je, ni kweli kwamba wa-Tanzania hawakulaani au kuchukizwa na matukio ya uhalifu kama like la kuuawa Daudi Mwangosi, kutekwa Ben Saanane, Azory Gwanda na matukio mengine kama hayo eti kwa sababu matukio hayo yalifanywa na wa-Tanzania wenzetu? Alivyotekwa Mo Dewji watu hawakulalamika??????
 
Naunga mkono hoja.
Ninachoshangazwa ni namna mnaopambania haki za raia wa Gaza na Ukraine, lakini sijawahi kuona anayekerwa na yanayotukia ndani ya bara la Afrika...

Hatukatai, Gaza ni janga kubwa kwa sababu upumbavu wa kuamua kuua raia kupitia silaha unafanywa na wahitimu wenye elimu na ustaarabu wa kutosha.

Lakini ukiangalia Gaza ealiopoteza maisha ni wengi na hawafikii idadi ya wanaouawa Afrika kupitia vita ambazo haziripotiwi lakini zipo

Tupunguze unafiki, tuanze kujisahihisha sasa kwani kuzungumzia Gaza bila kuizungunzia Afrika ni kujipendekeza kwa wasiokutaka
Reslimali zaTaifa zinazobwa kuwa embezzled na watawala zinasababisha maafa kuliko hata maafa ya Huko Asia , sasa jitu linaskia mama mjamzito amekufa kwa kukos alaki na nusu halinyanyui mdomo ila linatetea habari za Magaidi ya Hamas na houth.
 
Kwa hiyo baada ya kukemea na kuuliza, mkaishia hapo hapo!! Nilitegemea mngeandamana kama mnavyo hamasishana kwenye hivi vifo vya hawa Watanzania waliouwawa na Hamas.
Wanawapenda Magaidi kuliko ndugu zao Watanganyika, hii ndio sura halisi ya Wengi , ndiposa walikuwa wanataka kuandamana kuunga mkono magaidi ya kiislamu.
 
Back
Top Bottom