Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mine mwanzoni mwa March, jiandaeni lol
MJ1 tarehe ngapi nahisi nitakuwa maternity leave !!π
and you my dear, how are you???Mine mwanzoni mwa March, jiandaeni lol
Ya kwangu ni 03/03 bado kidogo!Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1
Kulikoni zimekwisha? ama?
Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!
Fl1 baby shower lini????MJ1 tarehe ngapi nahisi nitakuwa maternity leave !!π
Yako tutakuimbia 201229 February...tukumbukane!
MJ1 tarehe ngapi nahisi nitakuwa maternity leave !!π
π±ππ
Fl1 baby shower lini????
Hahahaha jamani dada kumbe mambo byee haya nakuombea umlete 13th au 12th .
nategemea Nyie ladies mnifanyie ..dada mkuu BHT kasema ataandaa hii kitu ..