Hakuna birthday karibu?

Hakuna birthday karibu?

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1

Kulikoni zimekwisha? ama?

Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!
 
kesho ni yangu
bt am not sure ngoja ntacheck birth cert yangu kwanza...........
 
Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1

Kulikoni zimekwisha? ama?

Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!
Ya kwangu ni 03/03 bado kidogo!
 
MJ yangu inakuja middle March jiandae kutakua na bonge la bash lakukata na shoka.
 
MJ umekumbusha suala la msingi sana hilo. Yangu itakuwa 14 April wandugu,2kumbukane :-D
 
nategemea Nyie ladies mnifanyie ..dada mkuu BHT kasema ataandaa hii kitu ..

I will do anything for you my bestlady!!!!
ntaawarifu wadada wasijali nipo kwenye mchakato
 
Back
Top Bottom