hakuna bosi mbongo mwenye biashara au kampuni anayependa maendeleo ya mfanyakazi wake

hakuna bosi mbongo mwenye biashara au kampuni anayependa maendeleo ya mfanyakazi wake

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Wengi wanakupenda ukiwa “useful but controllable”.

Ukiwa na mawazo mapya, wanakuona mjanja sana umewazidi akili, unakuwa threat kwao.
Ukiwa na ndoto kubwa, wanahofia utawazidi

Ukijenga jina lako, wanahisi unataka kuondoka pamoja na wateja wao

Hata ujidundulize ununue kagari, ujenge, n.k. watahisi kuna sehemu umewaibia

Si kwamba wote ni wabaya lakini wengi wanaishi kwa hofu ya kupitwa, kuhisi unawaibia kiakili, kuona si sawa mfanyakazi apige hatua.
 
Ni hulka ya binadamu. NI kama wazungu wanatamani Sana Sisi weusi tuendelee kuishi Maisha duni. Kila tukijitahidi kutoka wanaweka uzibe.

Kwa hiyo tumeamua kuwaachia dunia Yao. Kikubwa kwetu ni Kula, kutomba, kulala na kunya tukisubiri kufa.

adriz
 
C maboc wt ,,mm nilibahatika kukutana na mmoja na mpk ss ofc ninayomilikii chanzo n boss wangu na anafurahi sana Kila cku nikiongezekaa hatuaa Moja kwenda mbelee,na juzi tu jtatu katoka hapa ofcn ameniambiaa Kuna mahali wanakopesha mikopo Kwa ribaa nafuu kbs km nikiwa tayari nimwambiee anifanyie mpngo nichukuee helaa,

Kuna mabocc na Kuna maboziiiiiiiii,ww unaongelea mabozii wenyewe rohoo mkunjoooo
 
Back
Top Bottom