Hakuna celebrities wengine Tanzania zaidi ya hawa wawili

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
3,788
Reaction score
5,217
NAJIULIZA KILA SIKU, HIVI MASTAA NI HAWA WAWILI TU, DIAMOND NA KIBA? KILA MTU AKIFUNGUA THREAD NI WAO HADI INACHOSHA. BADILIKENI
 
NAJIULIZA KILA SIKU, HIVI MASTAA NI HAWA WAWILI TU, DIAMOND NA KIBA? KILA MTU AKIFUNGUA THREAD NI WAO HADI INACHOSHA. BADILIKENI
Kanumba kabla hajafa alikuwa anawafunika wote.Nadhani angekuwepo leo angekuwa namba one star in Tanzania.
 
Kanumba kabla hajafa alikuwa anawafunika wote.Nadhani angekuwepo leo angekuwa namba one star in Tanzania.
Si kweli, kwa kasi ya Diamond alikuwa ashaanza kumpoteza, kumbuka alianza kutoka na Wema kipindi Kanumba yuko hai, na vyombo vya habari alikuwa ameshaviteka, pia alikuwa ameshaanza kufanya maajabu kwenye mziki kama kuandaa show yake kubwa aliyoipa jina la 'Diamonds Are Forever' na kuwateka wakali wote wa mjini. So hata Kanumba angekuwa hai angepotezwa tu, kwanza Kanumba ule mwaka amekufa nyota yake kwenye muvi ilikuwa ishaanza kuchukuliwa na JB. Ingawa JB ameshindwa kufika mbali kama wengi tulivyotarajia
 
Tena kwenye msiba wake watu wanasahau majonzi wanamshangaa diamond
 
Hakuna mastaa wengine mkuu! Hao ndo waliokamata tuzo za kimataifa nyingi kwa sasa...!wengine wananusa tu..
 
ni kama messi na ronaldo wanavyopokezana tuzo za ballon d'Or ! Utajiuliza wale wanaopiga kura hawaoni wengine? Hata kenya wametulia wanasoma mchezo ....
 
Wote wamekutana waswahili..huyu tandale mwingine k.koo
Kina A.Y wapo kimya wanafanya kazi ila wengine kazi zao wanahitaji sana kuongelewa ongelewa
 
Hakuna Rinaldo bila Messi
Hakuna CCM bila CHADEMA
hakuna Simba bila Yanga
Lazma mkali atafutiwe Mpinzani hata km hamfikii hata chembe ili mechi inoge. Unakumbuka kipindi kile Broza Kanumba alivyokua anawaburuza ktk Filamu wakaanza kumpambanisha na Ray ambaye si lolote kwenye filamu Braza K alivyodead na Ray akafa kifilamu ndio hivyo hivyo leo Diamond Hakuna WA kupambanishwa nae Tz Lkn watu wakaona bila kuwa na mpinzani mechi haitanoga wakamtafutia Kibakuli ambaye huko nyuma alikua si lolote si chochote so Leo hii Dmond akisema naachana na mziki Kibakuli atarudi shimoni alipokua.
 
Hata mi nashangaa Ina maana MAN FONGO hawamuoni?
 
Nani amekwambia Sijaelewa mada? Au una hemkwa tu?
ungekuwa umeelewa usingejibu kisoro hivyo, muwe munasoma contents ya habari sio kichwa cha habari halafu unakimbilia kujibu
 
Huyo Wema Kanumba ndio alianza kumbutua kabla hata ya Diamond,kumbuka Kanumba alikufa akiwa anajiandaa kwenda kusign deal la mkwanja mrefu iliyokadiriwa kufika Bilioni ili kucheza movie Hollywood.Umaarufu wa Kanumba kwa wakati huo ulikuwa mkubwa sana,uliza majumbani kama kuna mtu alikuwa hamjui kanumba.Unaambiwa na Kanumba alikuwa amefikia hatua ya "take off",kama umefika level fjani hivi utajua ni stage gani kwenye human race.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…