screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
eti hollwood haha, sikatai Kanumba alikuwa mkubwa sana ila kwa kasi ya diamond angekuwa hai alikuwa anafunikwa hata yeye, sema mtu akifa anashobokewa sanaHuyo Wema Kanumba ndio alianza kumbutua kabla hata ya Diamond,kumbuka Kanumba alikufa akiwa anajiandaa kwenda kusign deal la mkwanja mrefu iliyokadiriwa kufika Bilioni ili kucheza movie Hollywood.Umaarufu wa Kanumba kwa wakati huo ulikuwa mkubwa sana,uliza majumbani kama kuna mtu alikuwa hamjui kanumba.Unaambiwa na Kanumba alikuwa amefikia hatua ya "take off",kama umefika level fjani hivi utajua ni stage gani kwenye human race.