Hakuna cha Bitcoin wala Cryptocurrency!

rudi shule ujifunze kuandika maana article haiendani na ulicho kiandika
 
Nendeni mkalime matikikiti tu hyo ma bitcoin mtakja lia

Ova
 
Mleta mada nadhani ukijifunza maana ya forex utajua kwa nini haiwezi kufa kama ulivyoandika. Haiwezi kufa. Labda dunia nzima iache kutumia fedha.
 
Eimu Elimu Elimu
Mbona ulichoandika na hizo link havirandani
 
Ni kweli robo tatu ya all mining activities inafanyika china na kumekua hadi namalalamiko ya matumizi makubwa ya umeme kwa ajili ya mining activities kwa yale ma-super computers,ila pamoja na government crackdown sidhani hiyo inaweza kusababisha kuporomoka sana kwa bitcoin na altcoins zingine. Kinachohofiwa sana ni illicit business ambazo zinaweza kuwa zinafanyika kupitia hizi cryptocurrency na pia hofu ya uchumi kuanza kukimbilia kwa kasi huko. Ila ni suala la muda wakati Dunia inajaribu kuangalia njia itakayoweka udhibiti kwenye hizi virtual currency,maana kwa ilipofikia sasahivi it's unstoppable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…