Hakuna cha Bitcoin wala Cryptocurrency!

Hakuna cha Bitcoin wala Cryptocurrency!

rudi shule ujifunze kuandika maana article haiendani na ulicho kiandika
 
Nendeni mkalime matikikiti tu hyo ma bitcoin mtakja lia

Ova
 
Mleta mada nadhani ukijifunza maana ya forex utajua kwa nini haiwezi kufa kama ulivyoandika. Haiwezi kufa. Labda dunia nzima iache kutumia fedha.
 
Eimu Elimu Elimu
Mbona ulichoandika na hizo link havirandani
 
Habari,

Bila shaka hakuna mtu asiyefahamu kuhusu cryptocurrencies or at least Bitcoin. for the last two years kumekuwa na excitement kubwa kuhusu kuwekeza katika sekta hii, na mwaka huu ulianza vizuri kwa baadhi ya coins kama Ripple, Bitcoin, Stellar, Ethereum na nyinginezo. Ripple in particular ilipanda kwa kasi sana hadi kufika almost $3 from $1 (katika wiki mbili za mwanzo), hii ilionekana ni fursa kubwa kwa watu wengi ukizingatia ya kwamba Ripple tofauti na coins nyingine nyingi hiko centralized na inashirikiana na bank, binafsi nilinunua Ripple kiasi na kutrade kwenye currency exchanges za Japan,.


Tangia wiki hii ianze kumekuwa na anguko kubwa la Ripple na karibia coins nyingine nyingi, katika kufatilia inaonekana ya kwamba China inafanya kwa kile walichokiita "an ordely exit', in principle China is shutting down all the mining Rigs. Now i am not a financial expert nor do i claim to be one but i can bet this move has potential repercussion in the market. is this the bubble we have all been waiting for?, you tell me. Watch your hard earned cash and trade responsibly.

"Steer clear of Crypto....bih crash incoming,,,possibly 90% of value to be wiped out in the next month, ouch damn Chinese government" - mail quote from a trusted trader i know.

Nimeshindwa kufanya transaction kwa siku ya leo na Monero, probably because of a huge number of requests to exit the trades. View attachment 677002 View attachment 677003
View attachment 677005 View attachment 677006
Chinese Bitcoin miners forced to shutdown
China wants an "orderly exit' from Bitcoin mining
Cryptocurrencies have crashed 20% in two days
Ni kweli robo tatu ya all mining activities inafanyika china na kumekua hadi namalalamiko ya matumizi makubwa ya umeme kwa ajili ya mining activities kwa yale ma-super computers,ila pamoja na government crackdown sidhani hiyo inaweza kusababisha kuporomoka sana kwa bitcoin na altcoins zingine. Kinachohofiwa sana ni illicit business ambazo zinaweza kuwa zinafanyika kupitia hizi cryptocurrency na pia hofu ya uchumi kuanza kukimbilia kwa kasi huko. Ila ni suala la muda wakati Dunia inajaribu kuangalia njia itakayoweka udhibiti kwenye hizi virtual currency,maana kwa ilipofikia sasahivi it's unstoppable.
 
Forex,bitcon haya ni matawi ya tatu mzuka na biko
a2438a0ae7a17a5b5bd21929d1f1e158.jpg
 
Back
Top Bottom