Hakuna cha Domo wala kiba 100

Hakuna cha Domo wala kiba 100

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
Harmonize ndo king wa bongo F na east Africa Kwa sasa ..
Screenshot_20190414-082745.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaota ndoto za mchana harmonize ambaye hata akipita mtaani watu hawash2ki, Diamond na kiba hasa diamond ni habari nyingine kwanza hao wawili ni smart sana kichwani unawafananisha na huyu ambaye mda wote kavaa macheni na manywele ya marangi kama limbukeni kwanza hajui kuimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajifunza kupga screenshot nini?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Harmonize ndo Msanii aliyefanya vizuri 2018/2019. Kiba Ashashuka sana,, Ngoma za Kawaida sana. Diamond ni msanii mwenye nguvu (Ushawishi Mkubwa) na nyota. Ila Harmonize ndo msanii mkali wakati huu.
 
Back
Top Bottom