Hakuna cha jini mahaba wala jini makata, haya majini yote ni ubunifu kutoka akilini mwako

Hakuna cha jini mahaba wala jini makata, haya majini yote ni ubunifu kutoka akilini mwako

TheGreatest Of AllTime

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
207
Reaction score
679
Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe

Fanya kazi

Wekeza kwa uwezo wako

Epuka migogoro

Tabu na mateso yapo hata ufanye nini

LAzima kwa namna yoyotw tamaa zitakuingia, jifunze self control tofauti na hapo utageuka malaya alafu unanisingizi na una jini la ngono
 
Wadada wenye Makebo makubwa waliniharibia sana maisha in my 20s.

Sina wa kumlaumu, ni mimi mwenyewe
Choxo sema uliharibiwa huko kwenye marinda ukiwa mdogo na huna wa kumlaumu kwa kuwa bado unapenda kupumulia mxunduni na midume, usije kinyumenyume
 
Kuna huyo subihani laadhwimu mkatakamba,akikupanda utaacha ndala
 
Jini mahaba nasikia lilimpakia water based lubricant sekretar ndege alipoenda jela
 
Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe

Fanya kazi

Wekeza kwa uwezo wako

Epuka migogoro

Tabu na mateso yapo hata ufanye nini

LAzima kwa namna yoyotw tamaa zitakuingia, jifunze self control tofauti na hapo utageuka malaya alafu unanisingizi na una jini la ngono
Majini yapo Mkuu, makata, subian, jini mahaba, sema hakujakutana na situation kama hizo
 
Huu ndiyo Uzi wa kiume,huwa namdharau sana mtu anayezungumzia hizi myth
Usidharau kama haujapatwa na sio myth kama unavyosema majini yapo, kama hakujakutana na hizi situation ni rahisi sana kuona ni uongo
 
Majini yapo Mkuu, makata, subian, jini mahaba, sema hakujakutana na situation kama hizo
Mkuu kwa hio unataka kusema kuwa secretarybird na Chizi Maarifa wana majini yanawasumbua eti ndio maana wapo addicted na mademu wenye Makebo makubwa🤔
7a5d8e0a4dcea2ca25c3ea89de05afcb.jpg
 
Ni uongo mkuu , ujeuri tu
Ni sawa kwa mtazamo wako na ni kwa vile haujakutana nayo, ni sawa na mtoto wa tajiri kuamini kama kuna wanaolala na njaa, ni mpaka wakutane na mazingira ya kulala na njaa ndio wataamini
 
Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe

Fanya kazi

Wekeza kwa uwezo wako

Epuka migogoro

Tabu na mateso yapo hata ufanye nini

LAzima kwa namna yoyotw tamaa zitakuingia, jifunze self control tofauti na hapo utageuka malaya alafu unanisingizi na una jini la ngono
Mudi aliyasilimisha majini yote kwa sasa wanakatana na jini makata.
 
Mkuu kwa hio unataka kusema kuwa secretarybird na Chizi Maarifa wana majini yanawasumbua eti ndio maana wapo addicted na mademu wenye Makebo makubwa🤔
Inawezekana, dalili ya kuwa na jini mahaba
1. Utachukia kuoa au kuolewa
2. Huwezi kutulia na mwanamme mmoja
3. Muda wote akili na mawazo yakuelekeza kwenye ngono hata haupendi ila utajikuta unawaza ngono tu
 
Back
Top Bottom