Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mh. Spika, wananchi tumekubali uchunguzi wa Polisi sasa turudi kwenye issue ya RADA na vijisenti!
Jamani tuwe wa kweli, hivi kweli tulitegemea nini? NI sawa sawa na ile kesi ya Wabunge wa Arusha wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM, hivi mliposikia wamefunguliwa mashtaka mlitarajia nini? Wakati mwingine tujifunze kujiandaa kwa habari mbaya kuliko nzuri.
Tunataka MOTIVE!
KWANINI UNGA ULIKUWA BUNGENI NA KWANINI ULIPELEKWA KWA MKEMIA NA TUNATAKA KAULI ZA WALIOHOJIWA!
POLISI WASEME WALITUMIA VIGEZO GANI KUFIKIA CONCLUSION!
ACHENI HIZO BANA!
...hakuna Ufisadi, Hakuna Wizi, Hakuna Unga, Hakuna Uchawi, Hakuna Mkanda, Hakuna Nia Mbaya, Hakuna Nia Ya Kuchunguza Mambo Kikamilifu
...hakuna Hakuna Hakuna Hakuna X 100000000000000000000000000000
...ndiyo Maana hakuna Maendeleo....kazi Kujiombeleza Kutoka Nchi Matajiri Zenye Kuchukulia Serious Kila Kitu!!!
I couldnt agree with you more jmushi1! They really have to come up with proper answers to real questions.
Spika alishasema kunawatu waliingia bungeni wakati usio wa kawaida, watuoneshe nini walichokuwa wakikifanya...na watoke maelezo yanayoeleka kwa maswali yako jmushi1
Mpango wa kummaliza SITTA!
Mimi nafikiri hizo kamera ni "Dummy" tu na hazifanyi kazi. Huyo ACP asione aibu kukiri hicho.
Haiwezekani kukawa na kamera na kusiwepo hard copy ya ushahidi wowote achilia mbali "any shread of evidence".
Haya tukubali na tuendeleze uchunguzi juu ya kisiwa cha Jersey kulikofichwa vijisent vya kitanzania.