Hakuna cha Kamera, wala ushirikina - Polisi

Hakuna cha Kamera, wala ushirikina - Polisi

Hapana MKJJ..Tunataka MOTIVE!
Kama kulikuwa HAKUNA MOTIVE...Wasingepeleka unga huo wa sembe kwa mkemia!

Uchunguzi wowote wa kitaalam unabase kwenye MOTIVE!

NINI HASWA YALIKUWA MADHUMUNI YA UNGA HUO WA SEMBE...NA KAMA HAUKUWA CHOCHOTE NA WALA SI KITU CHA AJABU..THEN NI KWANINI ULIPELEKWA BUNGENI?

NA PIA NI KWANINI ULIPELEKWA KWA MKEMIA MKUU WA SERIKALI?

NI KWANINI WAMETUPIANA MPIRA SANA TU KATI YA SIX NA UKUDA?
 
Mh. Spika, wananchi tumekubali uchunguzi wa Polisi sasa turudi kwenye issue ya RADA na vijisenti!
 
Huyu Ac nimemuogopa sasa si mchezo anajua kucheza dala kweli kweli. Amefunga la maradona sasa.
 
Jamani tuwe wa kweli, hivi kweli tulitegemea nini? NI sawa sawa na ile kesi ya Wabunge wa Arusha wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM, hivi mliposikia wamefunguliwa mashtaka mlitarajia nini? Wakati mwingine tujifunze kujiandaa kwa habari mbaya kuliko nzuri.
 
Mh. Spika, wananchi tumekubali uchunguzi wa Polisi sasa turudi kwenye issue ya RADA na vijisenti!

Mi nakwambia aliyeshinda VITA YA MKEMIA NA POLISI DHIDI YA SIX NDIE ATAKAESHINDA VITA YA BUNGENI!
Watu kama nyie ambao hamuulizi maswali a muhimu mnakatisha TAMAA SANA!
 
Jamani tuwe wa kweli, hivi kweli tulitegemea nini? NI sawa sawa na ile kesi ya Wabunge wa Arusha wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM, hivi mliposikia wamefunguliwa mashtaka mlitarajia nini? Wakati mwingine tujifunze kujiandaa kwa habari mbaya kuliko nzuri.

Tunataka MOTIVE!
KWANINI UNGA ULIKUWA BUNGENI NA KWANINI ULIPELEKWA KWA MKEMIA NA TUNATAKA KAULI ZA WALIOHOJIWA!
POLISI WASEME WALITUMIA VIGEZO GANI KUFIKIA CONCLUSION!
ACHENI HIZO BANA!
 
Kabla ya kujadili ni kwanini unga huo ulipelekwa kwa mkemia mkuu na polisi...Tunataka tujuwe kwanza ulipelekwa Bungeni kwasababu gani!

"The UNGA UNGA TRAIL" You know what am sayin'
 
Mimi nafikiri hizo kamera ni "Dummy" tu na hazifanyi kazi. Huyo ACP asione aibu kukiri hicho.

Haiwezekani kukawa na kamera na kusiwepo hard copy ya ushahidi wowote achilia mbali "any shread of evidence".

Haya tukubali na tuendeleze uchunguzi juu ya kisiwa cha Jersey kulikofichwa vijisent vya kitanzania.
 
Tunataka MOTIVE!
KWANINI UNGA ULIKUWA BUNGENI NA KWANINI ULIPELEKWA KWA MKEMIA NA TUNATAKA KAULI ZA WALIOHOJIWA!
POLISI WASEME WALITUMIA VIGEZO GANI KUFIKIA CONCLUSION!
ACHENI HIZO BANA!

I couldnt agree with you more jmushi1! They really have to come up with proper answers to real questions.

Spika alishasema kunawatu waliingia bungeni wakati usio wa kawaida, watuoneshe nini walichokuwa wakikifanya...na watoke maelezo yanayoeleka kwa maswali yako jmushi1
 
Nilipotembelea bongo mwaka 2006 niliona utofauti MKUBWA SANA na nikawa ninajiuliza maswali mengi mengi sana na nikawa sina jibu.

Nikawa nikidhani labda ni kwasababu ya majambazi kuwa wengi!

Lakini ukweli wabongo walikuwa wanatia huruma na kila mahali ukipita kama kweli una empathy basi machozi yatakutoka!

Mpaka kieleweke kama wewe ni Mbowe utakumbuka tulikutana ukiwa na Zitto nilikwenda kumcheki jamaa yangu Tumanini.

Nilikwenda Dar kubadili passport yangu lakini nikajuta kwani wenzangu walilipa dola 50 tu hapa na mimi kimbelembele changu kwenda kubadili huko Dar kilini cost laki mbili...Karibia mara nne ya original cost!

Njiani wakati narudi niliona mengi!

Hata kituo cha mafuta nilisimama kuweka mafuta na service kidogo kabla ya kurudi moshi lakini walinzi wa kituo hicho ni harassment tupu utadhani mimi si mteja na nimeenda kuomba msaada!

Na sasa hata huko Moshi askari wanaolinda hata duka ama bureau de change anageuka kuwa askari wa bara barani na kila kitu!

Yani wakipewa bunduki sasa wao ndio wenye mamlaka yasiyo na mipaka!

Mimi kwasababu nilikuwa nikiona habari za ujambazi kila siku basi nikasema labda ni haki!

Lakini sasa nimegundua kuwa tuli tafsiri vibaya ubepari!

Kwani eti sasa hata maaskari wanalinda watu binafsi kwasababu ulinzi wa mali za umma haupo tena!

Ulinzi wa mali za umma haupo tena kwasababu mali hizo za umma ziko mikononi mwa mafisadi na polisi hao njaa wanalinda mali hizo na mafisadi wake!

Ni wazi kuwa mwenye pesa ndiye mwenye kulindwa na kuamuwa nini kifanyike!

Na ubepari wa kibongo ni wa KIMAFIA!

Kwani sasa jeshi la POLISI SI LA KUWATUMIKIA WANANCHI TENA BALI MAFISADI!

NA MWENYE ULINZI NDIOYO ALIYEKO SALAMA!

MWENYE ULINZI NI MAFISADI KWANI WAMEUPORA USALAMA WA WANANCHI AMBAO NI MALI ZAO!
 
...hakuna Ufisadi, Hakuna Wizi, Hakuna Unga, Hakuna Uchawi, Hakuna Mkanda, Hakuna Nia Mbaya, Hakuna Nia Ya Kuchunguza Mambo Kikamilifu

...hakuna Hakuna Hakuna Hakuna X 100000000000000000000000000000

...ndiyo Maana hakuna Maendeleo....kazi Kujiombeleza Kutoka Nchi Matajiri Zenye Kuchukulia Serious Kila Kitu!!!

Tutabakia Na Hakuna Tu!
 
I couldnt agree with you more jmushi1! They really have to come up with proper answers to real questions.

Spika alishasema kunawatu waliingia bungeni wakati usio wa kawaida, watuoneshe nini walichokuwa wakikifanya...na watoke maelezo yanayoeleka kwa maswali yako jmushi1

Tunataka kujuwa KATI YA watunga sheria(wabunge) Na wasimamiaji wake(polisi) Nani mwenye nguvu na ni nani mwakilishi wa wananchi!
Hata hao polisi wasimtishe mtu kwanza wanalipwa kwa jasho la mwananchi na hao ni MJAMBAZI PIA!
 
maneno ya Salva yametimia ... tusizungumzie masuala ya uchawi tutakimbiza "wawekezaji"!
 
Habari zaidi ambazo kanzi kalikopata nafasi ya kujibambikiza kwenye suti ya mkuu mmoja nitazihabarisha kwenye original story in a minute...
 
Mpango wa kummaliza SITTA!

Ina maana Mzee wa kujiridhisha na ushahidi alipeleka mkanda polisi kwa ajili ya uchunguzi bila ya yeye kuuona na kujiridhisha kwamba kulikuwa na watu wawili? Yeye alijuaje kwamba kuna watu 2 walionekana wakiwa wanazunguka? Je, alijuaje kwamba mmoja ni Mbunge na mwingine ni Afisa wa Bunge? Alikubalije kutangaza habari ambayo hakuwa na uhakika nayo ama bila yeye mwenyewe kujiridhisha?

Chiligati alipata wapi maelezo kwamba walioonekana kwenye ukumbi wa Bunge walikuwa wanatafuta kiti cha kukaa ama na yeye aliropoka bila kuwa na uhakika?

Serikali ya Tanzania pamoja na Chama Twawala imeshikiliwa na wachache na ndiyo maana wanaweza kucheza na chochote kile kama wanavyopenda wao wenyewe!
 
Mimi nafikiri hizo kamera ni "Dummy" tu na hazifanyi kazi. Huyo ACP asione aibu kukiri hicho.

Haiwezekani kukawa na kamera na kusiwepo hard copy ya ushahidi wowote achilia mbali "any shread of evidence".

Haya tukubali na tuendeleze uchunguzi juu ya kisiwa cha Jersey kulikofichwa vijisent vya kitanzania.

Hiyo kamera ingekuwa Dummy copy zake zilipelekwa polisi kufanya nini?
Walipoitizama kwa mara ya kwanza na mtaalam wake kuikabidhi kwa polisi ilikuwa kwenda kuangalia mkanda mtupu?
Kama ulikuwa mtupu si wangesema na kuwaambia polisi kuwa there is nothing na kuwa hakuna picha yoyote?
Ama unataka tukaanze ku copy na kupaste ili kuonyesha kuwa kulikuwa na suspicions na ndio maana polisi walishirikishwa?
Kama unga unga huo ulikuwa hauna maana basi hata polisi usingefika let it alone kwa mkemia mkuu!
Na kama kulikuwa hakuna wasi wasi wa uchawi ama sumu basi polisi wasingemhoji mtu na wasingeupeleka unga unga huo kwa mkemia mkuu kwani kwa kufanya hivyo ni kukubali kuwa kuna mazingira yasiyo mazuri kwene issue nzima haswa haswa MOTIVE ama MADHUMUNI HALISI YA CHENGE KUUPELEKA UNGA UNGA HUO NDANI YA BUNGE KWA KU SNEAK!
 
Unga Gani Huo Mzuri Mtu Uupeleke Bungeni Kwa Kujificha?
 
Back
Top Bottom