Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Nilitazama mpira na watu waliokuwa na ndoto ya kuona simba ikizalilishwa sababu walitaka kuprove kuwa Simba ni timu ya kawaida sana. Mpaka dakika ya 95 hawakuwa na raha kabisa. Walisali kuliko waarabu, Baada ya Kapombe kukosa penati walifarijika na misemo yao ya kujifariji kwa walichoshuhudia uwanjani ndo hii hii ninayoiona humu "KUTOLEWA NI KUTOLEWA TU"
Kila ninapokutana na hii misemo inanikumbusha kuwa hawakuwa na raha kwa 95min na ndio imetolewa Simba ila Furaha walikosa wengine.
Kila ninapokutana na hii misemo inanikumbusha kuwa hawakuwa na raha kwa 95min na ndio imetolewa Simba ila Furaha walikosa wengine.