Usisahau na sisi tunaweza kula wa chuya ujue keshoSimba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu
Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game kabisa leo sema kikosi hakuna tuwe wakweli!!
Ligi ya mabingwa inahitaji uwekezaji karibuni tena mwakani!!
Mjiandae kuwashangilia kaka zenu Yanga siku ya kesho, ili wafuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Maana hao ndiyo wawakilishi pekee wanao wakilisha kimataifa kwa sasa.TUNAJIANDAA NA SUPER CUP