Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku.
hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi kwa kura halali ndio barafu ya Nchi zaidi ya hapo ni kufuka moshi tu tena kwa wingi
Suala gumu ambalo viongozi wenu nyie CCM linalowapa shida ni pale anapoulizwa serikali yako ilichukua madaraka kwa nguvu bila ya kufuata matokeo halali ya kura,viongozi wenu hupata tabu sana kujipapatua,Je kama mngelishinda Uchaguzi kwa kura halali kabisa ingekuwaje ?