Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

Matus yako yana akisi uwezo wa ubongo wako. Mithali 26:4 imesema "Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake, usije kuwa sawa naye"
Kama kuwashwa ni matusi basi wewe ndiye mwenye matatizo.na ndo maana umemhusisha mbowe kwenye mada ambayo haimhusu mbowe.
 
Hapo CCM watakuua asee
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ulikuwa Huru, Wazi na wa kidemokrasia kwa sababu hata kesi za kupinga matokeo ya Ubunge na Udiwani zilikuwa chache ukilinganisha na Chaguzi za miaka iliyopita. Chaguzi za Ubunge zilizofunguliwa ni nne na za Udiwani ni 11 na zote zimeshasikizwa na kumalizika kwa kuwaruhusu walioshinda waendelee na majukumu yao.
 
Uchaguzi ulikuwa hururu wa wazi na wa haki kwa sabau hata kesi zilizofunguliwa za kupinga matokeo ya Ubunge na Udiwani zilikuwa chache ukilinganisha na chaguzi za miaka iliyopita
 
Kunywa maji ulale
 
Ukiomba haki utasubiri sana, haki huwa inadaiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…