Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Unateseka ukiwa wapi. shughulikieni na madunduka wanzeni huko kikaoni wachezaji wenu waliulizwa mchezaji asiyetaka kubaki atoke wakatoka wote mkaanza kuwabembeleza hamtutoi katika mchezo sisi ng'oo kuku wahed nyie.Ndio vilabu vya Dar es salaam, Yanga wamewekeza kwenye ulozi kuliko mazoezi.
Wewe una meci kubwa siku 5 zijazo badala ya kudeal na afya na saikolojia ya wachezaji wewe unaleta waganga toka kila kona ya nchi ili ushinde.
Yanga imekuwa kama wanasiasa, ikifika karibu na chaguzi makafara kila kona ,