Hakuna cha sijui 'Bakabaka Day' wala nini, ukweli ni kwamba tumeitwa Zanzibar na Waganga wetu ili tukaroge kwa Kufuru na Mwarabu afe 2/12/2023

Unateseka ukiwa wapi. shughulikieni na madunduka wanzeni huko kikaoni wachezaji wenu waliulizwa mchezaji asiyetaka kubaki atoke wakatoka wote mkaanza kuwabembeleza hamtutoi katika mchezo sisi ng'oo kuku wahed nyie.
 
Tumebakiwa na wapumbavu wachache sana ambao bado mpaka sasa wanaamini kwenye mpira ni ushirikina na watu kama nyie ndio mnaoturidisha nyuma. Yanga huko alishatoka kitambo, wewe na timu lako endeleeni kuhangaika huko kwenye ushirikina wenu
Sasa huyo ukimuita mpumbavu kwa kuamini hivyo ,mnagombana
 
Unateseka ukiwa wapi. shughulikieni na madunduka wanzeni huko kikaoni wachezaji wenu waliulizwa mchezaji asiyetaka kubaki atoke wakatoka wote mkaanza kuwabembeleza hamtutoi katika mchezo sisi ng'oo kuku wahed nyie.
Duh.
Wazee mnapata mpaka za ndani kabisa huko.
Hii kama ni kweli, MADUNDUKA msimu huu kwishney.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…