Nimeona SEHEMU ati Fujo za chadema zitansaidia MH SAMIA kupitia kiurahisi
Kwa kifupi hakuna chama cha kupambana na ccm wapendwa
Kwa sasa wanachofanya n kupambania ruzuku tu
YAAN ukisikia HATA wale wanajiita wenyeviti sijui wanataka mtu flan awexe kukomaa kupambana na ccm
walee n wahunii
YAAN HATA mbowe anajua haeana nguvu ya kuitoa ccm madarakan
Wanachopambana n kuteseka wanapataje ruzuku
Huamini subiri uchaguzi
Cha kusikitisha wakianzisha mgogoroo wanasahau HATA mbunge MMOJA hawatapata kabisa
Cc
Uchaguzi serikali za mitaa