Pre GE2025 Hakuna chama chochote cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo

Pre GE2025 Hakuna chama chochote cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sera haiwezi kuwa bora kama haijawahi kutekelezwa. Huwezi kupima ubora kwenye maandishi.
Kimsingi CCM inashindwa kuwa na sera bora kwa sababu inachanganya sera za serikali na sera za chama. Huwezi kutenganisha sera za serikali na sera za CCM.
Ili CCM iwe na sera nzuri ambazo zinaweza kutuvusha, ni lazima waje na sera mbadala ambazo ni tofauti na zile za serikali. Hata kama zitakuwa zinaendana ila haziwezi kufanana kama kurwa na doto.
Kimsingi CCM haina sera bali inatumia sera za serikali kama sera za chama.
Wew unadhan serikali na CCM ni nani Yuko juu ya mwenzake ????
 
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo:

1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua na Azimio La Arusha, ila Sasa hawana.

2. Ndio chama pekee kinachoibua Changamoto za wananchi na kuzitolea Ufumbuzi wake.

3. Ni Chama pekee ambacho magufuli, alikisifia bungeni mwaka 2015 na 2020 kuwa viongozi wake hawana papara ya mambo, ila wanachakata mambo Kwa kina.

4. Ndio chama chenye mawaziri katika serikali Kwa 2020-2025 baada ya kuiondoa CUF katika nafasi yake, na chenyewe kushika hatamu Zanzibar.

5. ACT Wazalendo ni Chama kinachopokea wanachama wapya Kwa hoja, sio Kwa udanganyifu kama ilivyo chadema au Kwa ulaghai kama ilivyo CCM.

ACT Wazalendo; Taifa La Wote, Maslahi Kwa Wote, Mamlaka kamili.


Tatizo viongozi wake wamenunuliwa
 
shida za watanganyika ni zipi?

..umasikini, ujinga, maradhi, ukosefu wa ajira,...

..Act huwa hawatetei Watanganyika tunapopatwa na shida.

..Na sasa hivi kwasababu Rais wa muungano anatokea Zanzibar Act wamepoa kabisa.
 
Back
Top Bottom