Pre GE2025 Hakuna chama chochote cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wew unadhan serikali na CCM ni nani Yuko juu ya mwenzake ????
 
Tatizo viongozi wake wamenunuliwa
 
shida za watanganyika ni zipi?

..umasikini, ujinga, maradhi, ukosefu wa ajira,...

..Act huwa hawatetei Watanganyika tunapopatwa na shida.

..Na sasa hivi kwasababu Rais wa muungano anatokea Zanzibar Act wamepoa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…