Hakuna chama duniani kinaendekeza wasiotii maazimio ya chama/ Mwenyekiti wake

Tatizo ni kwamba John ana miaka kama 5 tuu aondoke.. lakini maisha ya siasa ni zaidi ya miaka 5.
Unajua sentensi hii inaumiza sana?

Hata sijui kwa nini umewaza hivyo.

Hiyo sehemu ya pili "...lakini maisha ya siasa ni zaidi ya miaka 5", haileti ahueni yoyote, kwa sababu kila siku ya maisha inahesabika katika hiyo miaka 5.

Hebu liwaze vizuri hili jambo utaona mantiki ninayoilenga.
 
Mbona ccm walivyokuwa wamewaazibu wanachama wao akiwemo Camillius, mlikuwa mmebeza?
 

Mkuu kweli uko ufaransa na pumba Zote ulizoandika. Haya Tuambie. Wabunge wamatoka Dodoma kujikarantini. DAR ES SALAAM. Talk about that. You are very stupid. Sijui hata hapa jirani ulikujaje.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Bango lako hili unatuambia kuwa Chama cha Familia kunafuka moto Huko??
 
Umenena mkuu utoto na ubinafsi unawasumbua
Mtu kama Lijuakikali alifungwa chama kikampigania katoka. Leo anaona Chadema si lolote.
Mtu kama Silinde kaibuliwa toka chuoni hajui hata ajira ikoje, hakuwa hata na pesa za kampeni Chadema ikatumia rsili mali akaingia bungeni, leo ana jiona star. Fadhili za punda.
Msabaha baada ya kusifiwa na Mh rais nae anajiona kweli ni mzuri kumbe kabebwa kutokana na uchache wa wawakilishi wa upinzanibtoka Zanzibar. Mambobya kipuuzi haya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote kifo cha mende kisiasa.

Uliza kina kafulila leo wapo wapi ?

Wanabugia matapishi huko songwe.

Tatizo la vijana ni kuwa na ndoto za abunuasi.

Chadema ni chama makini sana kuwahi kutokea.
 

Attachments

  • FB_IMG_1588851736793.jpeg
    39.9 KB · Views: 17
Shida ni kuwa hata chadema waliwatimua bado watalamba posho kama Cecil Mwambe aliyejitoa mwenyewe anakula mpunga sembuse hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anacho sema mwenyekiti wa ccm huwa mnapinga?? Acha unafiki

Sent by IPhone
Sisi kwa kweli huwa hatupingi kabisa. Achilia mbali hao wabunge,sisi huku kijijini ukipinga labda ukafanyie chooni tu. Nikuunga mkono hoja tu.

Sent using iphone pro max
 
Chama ni shule ya socialization. Anayeshindwa kusociolize nje kwa guidance ya chama anakuwa amekiuka na kukosa utii.

Kukosa utii ni dhambi inayopingwa kila mahali kuanzia familia kwani inazaa usaliti.


Mkutano mkuu wa chama uwafukuze hata kama ni maumivu ili ujenge maadili ya chama na utii wa mamlaka.

Mwanzoni mwa bunge kwa nini walikaa nje? Walikuwa hawana wa kuwawakilisha?
Vijana hawa naona bado wanakipenda chama lkn waachwe ili wajifunze.
Kuwa mwanachama ni kukubali yote na kukitetea chama na viongozi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…