Wanashabikia vitu vya hovyo kabisaBro ona aibu ata kidogo Iraq hii hii iliyogeuka magofu na vita ya wenyewekwa wenyewe, unaisifu ina demokrasia na inachagua wabunge wanaotakiwa.
Bila ya Wamarekani kuivamia Iraq na kuipindua serikali ya Saddam Hussein, yawezekana chama cha Ba’ath huenda bado kingekuwa madarakani mpaka leo hii.
Kwa Tanzania, labda nasi tuvamiwe na Wamarekani halafu waitoe CCM madarakani na baadaye ipigwe marufuku kabisa.
Hatujafika huko bado. Na mazingira ni tofauti sana.
Hata ujasiri wa kuwa na Orange Revolution kama ile ya Ukraine mwaka 2004 - 2005 au ile Arab Spring, hatuna.
Wa Ukraine waliingia barabarani baada ya uchaguzi wa run-off kutokuwa wa huru na haki.
Waliandamana kwa miezi miwili bila kuchoka mpaka kikaeleweka.
Sisi ujasiri wetu upo kwenye mitandao tu.
Wasiosoma Ni Chakula cha Wasomi, Wasomi ni Chakula cha Wanasiasa, Wanasiasa ni Chakula cha Waganga wa Jadi(Washirikina)Nazi. Sijui kama nimetaja vizuri. Hao jamaa waliua vibaya sana.
Kiufupi.
HAKUNA JAMBO JIPYA DUNIANI.
"Wasiosoma ni chakula cha wasomi, wasomi Ni chakula cha wanasiasa, wanasiasa Ni chakula cha wafanyabiashara".
Mimi siyo CCM. Kamwe sijawahi kuwa CCM.Ingawa wewe ni ccm lakini kwa hili umesema ukweli mtupu.
Hapa Mkuu umesema kweli kabisa, ww ni Mtanzania mwenye uchungu na Nchi yakoMimi siyo CCM. Kamwe sijawahi kuwa CCM.
Si kila anayewakosoa CHADEMA na wapinzani wengine, ni CCM.
Btw, hata CCM huwa nawakosoa sana tu.
Unabisha?
💯%.Uelewa wa Watanzania (baadhi) kuhusu Siasa za Kidunia ni mdogo sana, sasa unawezaje kulinganisha Baath na CCM kwa mfano? USA alivamia Irak kumuondoa Sadamu Husseni na siyo kukiondoa Chama cha Baath, sasa USA avamie Tanzania kumuondoa nani? na Kwa sababu gani? Magufuli anamaliza muda wake 2025, sasa USA ivamie kuondoa CCM? CCM ni ni kwanza? CCM ni Taasisi na siyo mtu, na mnafikiri ni uamuzi rahisi kwa USA kutumia Majeshi yake kuivamia nchi nyingine ambayo siyo threat kwa namna yoyote ile kwa USA? Ni Raisi gani wa USA atakuwa mjinga hivyo?
Jielimisheni kwanza Siasa za Kidunia zinavyokwenda kama ingekuwa rahisi kivivyo si wangeshavamia Uganda kwanza kumuondoa Museveni au unafikiri ni ninyi tu ndiyo wenye malalamiko hapa Duniani?
Uelewa wa Watanzania (baadhi) kuhusu Siasa za Kidunia ni mdogo sana, sasa unawezaje kulinganisha Baath na CCM kwa mfano? USA alivamia Irak kumuondoa Sadamu Husseni na siyo kukiondoa Chama cha Baath, sasa USA avamie Tanzania kumuondoa nani? na Kwa sababu gani? Magufuli anamaliza muda wake 2025, sasa USA ivamie kuondoa CCM? CCM ni ni kwanza? CCM ni Taasisi na siyo mtu, na mnafikiri ni uamuzi rahisi kwa USA kutumia Majeshi yake kuivamia nchi nyingine ambayo siyo threat kwa namna yoyote ile kwa USA? Ni Raisi gani wa USA atakuwa mjinga hivyo?
Jielimisheni kwanza Siasa za Kidunia zinavyokwenda kama ingekuwa rahisi kivivyo si wangeshavamia Uganda kwanza kumuondoa Museveni au unafikiri ni ninyi tu ndiyo wenye malalamiko hapa Duniani?
Bila ya Wamarekani kuivamia Iraq na kuipindua serikali ya Saddam Hussein, yawezekana chama cha Ba’ath huenda bado kingekuwa madarakani mpaka leo hii.
Kwa Tanzania, labda nasi tuvamiwe na Wamarekani halafu waitoe CCM madarakani na baadaye ipigwe marufuku kabisa.
Lakini hatujafika huko bado. Na mazingira ni tofauti sana.
Hata ujasiri wa kuwa na Orange Revolution kama ile ya Ukraine mwaka 2004 - 2005 au ile Arab Spring, hatuna.
Wa Ukraine waliingia barabarani baada ya uchaguzi wa run-off kutokuwa wa huru na haki.
Waliandamana kwa miezi miwili bila kuchoka mpaka kikaeleweka.
Sisi ujasiri wetu upo kwenye mitandao tu.
Bro ona aibu ata kidogo Iraq hii hii iliyogeuka magofu na vita ya wenyewekwa wenyewe, unaisifu ina demokrasia na inachagua wabunge wanaotakiwa.