Hakuna chochote nacho admire kwa hawa wanaojiita manabii na utapeli wao ila kwa namna walivyo badirisha ulaghai wao kuwa uhalali, should be studied.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo.

So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora hadi kuipachika jina la brand lenye ushawishi, basi hivyo hivyo wanafanya.

Na kikubwa zaidi ni jinsi walivyoweza kufinesse mamlaka kutokulipa kodi na makato mengine na usikute kunaweza kuwa hadi baadhi yao watu wanawatumia kufanya money laundering.

Maisha ni marathon, unakimbia au unasaidia wengine kukimbia?
 
Kabisa mkuu hawana tofauti na lbl wanaoliwa ukijaribu kuwasanua wanakuona wewe ndo mbaya. Na serikali imewaacha waendelee kuwapiga tu raia hakuna namna.
 
Back
Top Bottom