Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Katika hali isiyo ya kawaida vyombo vya habari za Tanzania vimeripoti malalamiko ya Vyama vya upinzani kuhusu kuengeliwa kwa wagombea wao lakini hakuna chombo kilichothubutu kuhoji wagombea husika.
Wagombea waliopitishwa wanajulikana na wagombea waliokatwa majina yao sambamba na sababu za kukatwa zipo wazi na zinawezakufanyiwa uchambuzi. Je, ni kukosekana kwa maarifa miongoni kwa waandishi wa habari au wamepewa Katazo la kuonyesha udogo au ukubwa wa tatizo?
Lakini pia chadema na ACT kwanini wasiweke wazi taarifa za wagombea wao nchi nzima wakionyesha waliopitishwa na waliokatwa?
Technologia imekuwa tunataka vyama hivi ambavyo vina wasomi watoe taarifa waweke na maeneo walioenguliwa siyo kusema bila kutoa taarifa yenye vithibitisho. Leo hii kama matokeo ya shule ya msingi unayapata kiganjani kwanini vyama hivi visiweke wazi taarifa hizi kwa umma?
TUNATAKA TAARIFA ZENYE USHAHIDI SIYO MANENO MATUPU