Hakuna Christmas isiyonyesha mvua

Huu Mwaka Mgumu sana, hata Nauli za kwenda Ushagoo Zimesumbua.
 
Sisi kwetu ina snow, nayo ni mvua?
 
Nilitoka tabata mchana ilikuwa inamwagika kubwa sanaa..kadiri unavyokuja ubungo Hadi mbezi beach jua Kali Sana...mvua ya mgao hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata Idd ndogo baada ya mfungo pia mvua hunyesha..ila xmass inawezekana ulipo haijanyesha ila kwingne imenyesha..haiwez nysha nchi nzima um
 
Ukiona hivyo tumetapeliwa [emoji16]hakuna Christmas bila mvua
 
Sijui kuna mahusiano gani bhana kati ya mvua na sikukuu za kidini..waumini watasema ni Neema hiyo.
Huku wenye imani haba utasikia wachawi wanaleta mvua ili kuharibu sikukuu sababu wao hawako vizuri kiuchumi.
Basi sisi wenye masikio yetu tunayapandisha juu kidogo ili tusikie wana sayansi nao watasemaje,sisi raha yetu ni kusikiliza tu basi.
 
Huku imenyesha kubwa tu...haijawah kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…